Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Kesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.
Ungekuwa kidogo basi.Katiba ya nchi siyo suala la siasa. Na ukumbuke binadamu anayeamini Mungu basi huwa na heshima kwa viongozi wa dini yake , na atakapoambiwa kapige KURA ya hapana basi atafanya kama alivyoelekezwa na kiongozi wa dini yake..Kama hili hulijui basi mjue kiboko chenu kiko huko.