Ninakushukuru sana Ummy Mwalimu kwa kunielewa ila naomba sasa uongeze vionjo hivi sasa tuwamalize

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kwanza nachukua fursa hii kwa leo kiwashukuru viongozi wetu wa Dini na Watanzania wote kwa ujumla wetu dhidi ya maombi tunayoyafanya dhidi ya gonjwa ili la corona ni kweli waathirika wanaongezeka tusiache kuomba.

Pili ninatumia nafasi hii kumshukuru Waziri wa Afya wa Tanganyika pamoja na yule wa taifa la Zanzibar kwa kusikiliza maoni yangu niliyoyapitisha hapa hapa jamii forum yaliyo bebwa na UZI nilio upa jina la CORONA IMEVUNJA MUUNGANO AU AFYA SIO SWALA LA MUUNGANO?

Nilikuja na uzi huo hakika si kwamba nilikuwa stambui au sijui kuwa suala la Afya si sehemu ya mambo ya Muungano sema nilitaka kuamsha mjadara ili ikiwezekana katika au tunapokuwa tunazungumzia jambo kwa maana ya kuzungumzia masuala ya corona kuwepo uhusiano kati ya zanzibari na Tanganyika maana hapo awali kulikuwa na mkanganyiko sana katika utoaji w taarifa kati ya waziri w Tanganyika na wa zanzibari

Yani akiiibuka Ummy Mwalimu anatoa ripoti ya Tanzania, akiiibuka Hamadi Rashid anazungumzia Zanzibar sasa kutokana na mkanganyiko huo wapo walio tahamaki kupitia uzi ule niliomba kuwepo na uhusiano kidogo tunapozungumzia walioathirika iwe ni Tanzania bara na Tanzania visiwani.

Kupitia uzi ule naomba nikili kuwa walio soma uzi wangu hawakunielewa kabisa ila nikubali kuwa Ummy Mwalimu hukuwa miongoni mwao maana kuanzia siku ile niliona inaundwa kamati ya kitaifa ilio unganisha watanzania wote kutoka zenj na Bara. kazi hii ilifanywa na Kassimu Majaliwa . kumbe nae alinielewa kabsa.

Pamoja na matusi niliyotukanwa na wana jf kupitia uzi ule baada ya kuona lire niliro lishauri linafanyiwa kazi hakika nilisamehee matusi yote.

sina lengo la kuwajibu walio nitukana ila leo nina vionjo vingine ambavyo naomba sasa UMMY Mwalimu kama hutojari nikuombe viongeze kwenye kila RIPOTI ZAKO DHIDI YA JANGA ILI LA CORONA hasa pale unapokuwa unazungumzia ni wangapi wameathirika na maradhi haya mabaya kweli kweli yaaani corona.

kwanza naomba uwe una twambia idadi kama unavyofanya kuwa ni kiasi kadhaa wameongezeka.

Pili tumbie wanaonekana kutokea wapi kama ni watanzania kutoka ugaibuni au ni wale wa ndani ila yaonesha ni zao la kukutana na walio karantini.

Tatu twambie kama ni wangapi kutoka mfano Dar ila Dar kubwa mama twambie dar Tandare(najua hapo tutazua presha yaani corona gonjwa la matajiri sasa limefika kwetu kajamba nani uwiiiiii), au wapo manzese au mbagala rangi tatu au wapi , najua kuwa hapa tunaogopa kuzua taaruki ila ni vizuri tutaepusha watu kujaa au kwenda maeneo hayo kama hakuna ulazima.


Nne twambie nje ya isabela, hiv walio fatia wanaendeleaje? kama wapo mahututi au wanaendelea poa au wapo kweny position gani?

Tano, Twambie tazamo wa wataalamu wetu wa afya wanatoa tathimini gani kama taifa tupo katika wkti upi? hapa usitumie mawazo yako mgeuze Dr kigwangala na ndungure waongoze JOPO la wataalaam wa Afya kupambana kuwatibu wagonjwa au waingie maabala watafute CHANJO waache kupuyanga mimi wajua Ndugu Ummy naumia sanaa ninapo waona madakitari wanao lipwa na kodi zetu mpaka leo hawajaingia maabara kutafta Dawa wapo ukikutana nao mitaani wanaangalia chini kama wamepoteza hela kumbe wanaona AIBU wataalamu gani kweny janga kama ili wamekuwa kama WALISOMA KILIMO!

Sita! Naomba usikubari ushauli wa kutufunga midomo eti tuskupe maoni yetu wewe jiachie pokea maoni yetu Ummy utazidi kuwa juu na utaishinda çorona na baada ya hapo mimi ntamfuta kale kajamaa kanaitwa

PIERE NA KUKAOMBA KASEMA UMMY YUPOOOO JUUUUUUUU JUUUU JUUUU KILELENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom