#ana mkanda wa jeshi umemtafuna shingoni ndio maana anajifunga
Hiyo staili yake hata mimi inanikera. Scaut sio scaut, girl guide sio, sijui labda chipukizi na yeye mtu mzima. Naona hiyo staili haipendezi ndio maana hakuna mtu anaiga. Nadhani akivaa tu kawaida anapendeza kuliko hii ya kuvaa bendera ya taifa shingoni.Wakuu,
Sijui mnaonaje kuhusu suala hilo? Huyu jamaa sijui ni kutaka sifa au nini? Hata akivaa suti lazima aweke hiyo skafu yake. Sijui ni ulimbukeni au nini?
Wakuu,