Ninakataa CCM hamna wasomi kama CDM na UKAWA

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Wakuu ninakataa kwa herufi kubwa kabisa kuwa ccm hakina vijana wasomi
Ccm kina watoto wa viongozi ambao kichwani ni hewa tupu wapo wengine juzi tumeona hawawezi kujieleza wala kujenga hoja kama Godfrey mgimwa na Ridhione kikwete
Vijana wasomi wapo cdm na ukawa kwa mfano kijana gani wa ccm utamfananisha na Mnyika?yupi utamweka na Lissu?nani ccm utamweka na Lipumba?
Na wengine wengi makamanda mtawataja
Ninakataaaaa ccm hamna vijana wasomi ni waropokaji tu!
 
siku hizi ukawa mnagawiana vyeti nini, naona umemtaja myika hapo ebu tujuze anacheti gani huyo msomi wenu, au cha kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu?
 
Wakuu ninakataa kwa herufi kubwa kabisa kuwa ccm hakina vijana wasomi
Ccm kina watoto wa viongozi ambao kichwani ni hewa tupu wapo wengine juzi tumeona hawawezi kujieleza wala kujenga hoja kama Godfrey mgimwa na Ridhione kikwete
Vijana wasomi wapo cdm na ukawa kwa mfano kijana gani wa ccm utamfananisha na Mnyika?yupi utamweka na Lissu?nani ccm utamweka na Lipumba?
Na wengine wengi makamanda mtawataja
Ninakataaaaa ccm hamna vijana wasomi ni waropokaji tu!
Khaa!! hapo kwenye nyekundu ni wazi umejieleza vilivyo kwa wenye akili. BTW wewe mtu msomi unamuelezea vipi?
 
yule aliyepigwa chini na Tundu Lissu kwenye ubunge hajui kujieleza wala kujenga hoja ameanza kugawa mizinga ya kufugia nyuki ili kuwaweka sawa wananchi wa singida mashariki wamchague uchaguzi ujao wa 2015 na tar 21 ya kesho kutwa Kinana a.k.a weka mbali na Tembo anakuja kuzindua huo mradi wa nyuki.
 
Ukiwa CCM kuna masurufu mengi achilia mbali Posho za nje nje - huko UKAWA kazi ni kujitolea tu sasa sisi hasa vijana tukale wapi wakati ndiyo kwanza tumetoka vyuoni na ajira hatujapata!!
 
Mnaambiwa eti nchi haijakombolewa eti bado kuna wakoloni, subiri subiri mpaka nchi ipate uhuru ndiyo utapata ajira, kwa muda huu wanajinufaisha wao na ruzuku, si umeona wananunua V8 la kutembelea babu??!.
 
Back
Top Bottom