Ninajuta kwa niliyoyafanya

Mbona hakuna cha kujuta hapo.

Hio scenario uliyoitaja ni simple foolish age tu ilikusumbua, ukikuta mtu anajuta kwa aliyoyafanya katika foolish age ujue bado hajatoka kwenye foolish age pia, mtu mzima huwezi kubeba guilty kwa sababu ya foolish age.

Foolish age simply ni foolish age tu, hakunaga kuijutia, labda kama useme unamisi mihela yake na mafanikio yake aliyoipata huyo jamaa.

Shake off the dust and move on lady.............
 
Majuto mjukuu......be responsble for your decisions
 
Maisha ya Jana ni mafunzo ili kesho uishi kwa tahadhari na uelewa.

Kama yule kaka amefanikiwa hiyo sio sababu ya kumpenda. Mapenzi ni mapenzi vitu vingine ni accessories.

Dhamira ya kuwa na upendo naye iondoe. Kwa sababu unapoelekea unataka kuwa nyumba ndogo. Usiharibu ndoa ya mwanamke mwenzako.

Stay focused na mwombe Mungu utafanikiwa.
 
hiyo ndo maana ya maisha, ukijutia haitokusaidia chochote lakini pia inakuwaga ngumu kusahau, hali hiyo huwatokea wasichana wengi wa chuo sio wewe tu, bring it on my dear, tafuta kazi itakufanya uwe bize hivyo mawazo yatapungua kidogokidogo
 
Reactions: CTX
teh teh
nimependa hilo onyo la kuwa aware huko PM.

Na mie kidogo nimvagae huko PM, umenitibulia mchongo...............

Hahaha. Ndio nastuka kwamba nimeharibia wengi sana. Mnisamehe tu arif, nilisema bila kufikiria. I take it back.
 
Just move on..hakuna cha kurudisha muda nyuma...badilisha mentality yako ya kwamba bila yeye huwezi kuishi. Jipange vizuri, kuna kilimo kinatoa watu. Kuna mambo mengi ya kufanya duniani na ukajikuta uko mbali zaidi in 2 years to come. Trust me, ukijiona huwezi hutaweza kweli lakini ukiondoa huo uoga utafanikiwa. Itumie hiyo degree yako vizuri...hata Mungu hapendi kukuona hufanyi vile anavyopenda.
 
You did the right thing sweetheart, you missed the bus arleady, it's gone! Get yourself together and start afresh. The truth is you didnt like the guy, even now, you dont like him but his achievements!
 
Laiti ningejua ujayakishatokea..!roho ya tamaa ndo inayokutesa naona.
 
Uza hata hiyo smatifoni....uchome hata maandazi....mwanzo mgumu lakini ukivumilia mbele kweupe kabisa.....
 
ila wewe si luckman inakuwaje tena yamekusibu hayo au kabla ya kubatizwa ulikuwa unaitwa Mateso?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…