Ninapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo yamenifanya nione serikali ya ccm haifai ambazo ni 1:tukio la shambulio la bomu arusha na kauli mbaya za wanaccm 2:uongozi mbaya wa ccm 3:rushwa ndani ya chama 4:kupanda kwa gharama za maisha na mengine mengi USHAURI Ningependa kuwashauri vijana wenzangu ambao wapo ndani ya chama cha mapinduzi kuwa wamepotea mkombozi wa taifa hili ni CHADEMA . MWISHO NDUGU NAPE ACHANA NA SIASA ZA KIJINGA ZINAZOFANYWA NA CCM WAOMBE RADHI CHADEMA NA UJIUNGE NA CHADEMA.
Wazo zuri sana, jitahidi kuwaeleza na watu wengine huko unakoishi kuwa hiki chama kimeachana na misingi kilichoachiwa na waasisi wake na sasa kinashirikiana na jeshi la polisi kuua wananchi wasio na hatia. Wameua wanawake na watoto wasio na hatia kabisa. Let these CCM Go To HELLNinapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo yamenifanya nione serikali ya ccm haifai ambazo ni 1:tukio la shambulio la bomu arusha na kauli mbaya za wanaccm 2:uongozi mbaya wa ccm 3:rushwa ndani ya chama 4:kupanda kwa gharama za maisha na mengine mengi USHAURI Ningependa kuwashauri vijana wenzangu ambao wapo ndani ya chama cha mapinduzi kuwa wamepotea mkombozi wa taifa hili ni CHADEMA . MWISHO NDUGU NAPE ACHANA NA SIASA ZA KIJINGA ZINAZOFANYWA NA CCM WAOMBE RADHI CHADEMA NA UJIUNGE NA CHADEMA.
Ninapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo yamenifanya nione serikali ya ccm haifai ambazo ni 1:tukio la shambulio la bomu arusha na kauli mbaya za wanaccm 2:uongozi mbaya wa ccm 3:rushwa ndani ya chama 4:kupanda kwa gharama za maisha na mengine mengi USHAURI Ningependa kuwashauri vijana wenzangu ambao wapo ndani ya chama cha mapinduzi kuwa wamepotea mkombozi wa taifa hili ni CHADEMA . MWISHO NDUGU NAPE ACHANA NA SIASA ZA KIJINGA ZINAZOFANYWA NA CCM WAOMBE RADHI CHADEMA NA UJIUNGE NA CHADEMA.
Sio kwamba ajiunge CHADEMA, sema ARUDI, maana aliwahi kuwa mwananachama alipotangaziwa U-DC akasaliti tena.
tatizo unafikili kwa kutumia makalia. Kitu kinaonekana cheupe, munataka kutuonyesha kuwa ni cheusi. Nyie magamba vp? Damu zinamwagika munatuletea unyinga wenu yani katika hili laana inawatafuna. Nyambafu nyie.Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Wako wapi akina Mzee Msekwa, Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim,Butiku, hivi hamuioni aibu mnayotuletea katika nchi yetu. Kama watu hawana tena uwezo wa kuongoza si wakapumzike majumbani kwao tu. Ebu jitokezeni mmalize jambo hili. Mbona wale waliouawa Arusha kipindi cha mwanzo hamkuwaingilia na mambo yakaisha tumesahau? TUMIENI Busara kidogo tu hamtadharaulika.