Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Ulipona?
Ulikua unaachia mabomu au vile vya kimya kimya?
 
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.

Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.

Naombeni ushauri..
Dada unapenda starehe ya kufilwa au mwenzetu unaingiliwa usiku na Kijana Popobawa bila kujijuwa? Maana hizi ndizo side effect zake.
 
Dada unapenda starehe ya kufilwa au mwenzetu unaingiliwa usiku na Kijana Popobawa bila kujijuwa? Maana hizi ndizo side effect zake.
Jaribu kuwa na maneno ya stara ndugu.....muda mwingine ni maradhi tu.... dunia ina mengi
 
Jaribu kuwa na maneno ya stara ndugu.....muda mwingine ni maradhi tu.... dunia ina mengi
Upo sahihi ila sikuuliza kwa kukukejeli labda umechukulia vibaya tu. Nimeuliza vile makusudi nikijuwa huo mchezo (kufilwa) karibia kila demu na baadhi ya vijana wa kiume wengi tu hapo Dar siku hizi wanapenda sana, yaani imekuwa kama fashion fulani hivi.
 
Ni kweli ni jambo baya na nyakati hizi naona watu wamelifanya lionekane la kawaida kwa watu kukithiri kulifanya..... lakini neno "KUFILWA" limekaa vibaya hasa kuli address hadharani...... lakini yote kwa yote ujumbe umemfikia ingawa kwa njia ngumu.....

NB
Nimeona hii topic ni ya almost more than 5yrs ago
 
Kula mapema chakula cha jioni at least isipite saa 1 jioni kabla haujala pia kula kiasi.
Au tumia tangawizi baada ya kula (waweza kutengeneza kama chai ila iwe kali kiasi )
 
Back
Top Bottom