Jibu swalihesabu kwa wiki utaleta shngp na kwa mda gani..
Kuna wale jamaa/kampuni wanaokopesha bajaj za umeme unatoa 700,000 kama kianzio halafu marejesho ni 140,000 kwa wiki au 20,000 kwa siku
hesabu kwa wiki utaleta shngp na kwa mda gani..
mkuu kwa faida ya wana jukwaa ebu sema hapa hapa mana kuna wengine hapo juu wameulizia na wanahitaji kujuaKama una chombo ni-pm tuzungumze
Hauko serious na tangazo lako.Mimi ninahitaji bajaji. Mwenye bajaji ani-pm tuzungumze
Miaka miwiliMarejesho ni kwa muda gani?