Ninaiona Jamuhuri Ya Watu Wa Pemba Ileee...

Ninaiona Jamuhuri Ya Watu Wa Pemba Ileee...

Tujaalie msomi wangu, wazanzibari, asili kwao ni wapi, Oman;; Yemen; Shirazi [Iran] 'Tanganyika'au Ngazija? kwako dullyhami:wink2:
 
Dulylhami usisahau Nyasa asili ya Karume. JIBU....ignoramus
 
Kuwepo kwa Muungano ndiko kunakoilea bara ,ingawa sasa maji yanazidi unga kwani tayari Tanganyka kuna vita au hamjui ???
Tanganyka kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe vimebatizwa jina la vita vya wakulima na wafugaji Kweli au uongo ? Hivyo ni vita tu,vipeni majina mtakayo lakini dosari ya cheche hizo mnaijua ? Je hio haiwezi kuwa vita ya ukabila ? Ni Nini tafsiri ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ? Ni nini tafsri ya vita vya ndani ya nchi ? Wanasema cheche huzaa moto mukubwa au sio ?
Zanzibar hatuna upuuzi huwa hakuna vita vya wavuvi na wakwezi ,hatunayo hayo kabisa ,tumesimama kwenye misingi madhubuti sana yenye kudhibitiwa na dini yetu kuu ya kiislamu.

Huko Tanganyika si muda mrefu kutavurugika ,sasa hivi ile msemo ya Katiba Mtanzania anayo haki ya kuishi popote haipo wala hautumiki tena ,wafugaji wanatimuliwa na mkulima hana nafasi ni vurugu mechi tu,kweli uongo ???

Mwiba,
Mbona wajichanganya?? Kwanza weye watokea Unguja au Pemba?? Siye twataka ule ukweli tu. Jamhuri ya watu wa Pemba ni wazi kabisa tena bila ubishi wowote ule. Wala haitochukua mwaka. Pamoja na dini yetu tukufu ya Uislam lakini yakhee mtu kwaooo.
Katiba yetu iko wazi kabisa, ila lazima tuelewe, sasa hivi tunajisahaulisha kidogo tu. Kwetu ni kwetu tuu. Pemba bwana ndo wazenj hao wengine, changanya damu tuu. Wengi waja hao waliingia kwetu kukwepa kodi tu. Hata hizo ndoa zenyewe, maigizo tu. Siwezi chukua mke ati kwa vile Muislam jina tu. Lazima niujue pia ukoo wake. Tangu lini Mpemba kaenda kusini bwanaa??
Tanganyika tafuteni yenu siye tayari tushapata sasa twasonga hatua ya pili. Upemba kwisha. Amani itadum
 
Baada Ya Katiba Ya Zanzibar Kutambulika Rasmi Katka Katiba Ya Tanzania Kwa Kuitambua Kua Zanzbar Ni Nchi. Waunguja Weng Wanafurahia Hilo Na Wengne Hawautak Muungno Lakn Naiona Jamuhur Ya Watu Wa Pemba Inakuja Kwan Waunguja Huwakebeh Wapemba Ati Cku Ya Mapnduz Walkua Wamelala,

hivi ni lini visiwa vya pemba na unguja viliunganishwa na huo mkataba uko wapi kwasababu waungwana tunataka kuuona.
 
Baada ya kutoka kwenye kilabu cha pombe naona umeua kutuletea Uzi ulojaa kasumba alokuachia baba wa taifa lako la Tanganyika, kwanza sisi watu wa Unguja hatuna ugonvi wala husda yoyote na ndugu zetu wa Pemba na hilo lemetufanya tuliishi mda mwimgi na ndugu zetu kwa salama na amani tokea DAHARI zamani kabla hataa RuHANI hajazaliwa na wala hana nia.....sasa cjui Waunguja wepi unaowazungumzia chapombe weyee....? au ndio walee walokija Unguja wamevaa kaptulla kutoka kwao wamekimbia kodi ya kichwa, na wengine wamekuja kuusindikiza Mwenge maskini hadi leo bado hawajaondoka na mwenge wao....nadhani hao ndio wanaojiita Waumguja ambao wewe ndio umaowaongelea, ila ndugu yangu elewa daima WAZANZIBAR tupo womoja tokea dahari zamani.

zamani ulikuwepo wewe baradhuli?jifunze kwanza kuandika vizuri kabla ya kuja kuharisha huo utumbo wako hapa jukwaani
 
Back
Top Bottom