Ninaiona Jamuhuri Ya Watu Wa Pemba Ileee...

Hollyman

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
283
Reaction score
77
Baada Ya Katiba Ya Zanzibar Kutambulika Rasmi Katka Katiba Ya Tanzania Kwa Kuitambua Kua Zanzbar Ni Nchi. Waunguja Weng Wanafurahia Hilo Na Wengne Hawautak Muungno Lakn Naiona Jamuhur Ya Watu Wa Pemba Inakuja Kwan Waunguja Huwakebeh Wapemba Ati Cku Ya Mapnduz Walkua Wamelala,
 
baada ya katiba ya zanzibar kutambulika rasmi katka katiba ya tanzania kwa kuitambua kua zanzbar ni nchi. Waunguja weng wanafurahia hilo na wengne hawautak muungno lakn naiona jamuhur ya watu wa pemba inakuja kwan waunguja huwakebeh wapemba ati cku ya mapnduz walkua wamelala,

ili yale maandiko yapate kutimia? Kwamba nje ya muungano kuna uzanzibari na uzanzibara? Kwani muungano si utaendelea kuwepo?
 
Baada Ya Katiba Ya Zanzibar Kutambulika Rasmi Katka Katiba Ya Tanzania Kwa Kuitambua Kua Zanzbar Ni Nchi. Waunguja Weng Wanafurahia Hilo Na Wengne Hawautak Muungno Lakn Naiona Jamuhur Ya Watu Wa Pemba Inakuja Kwan Waunguja Huwakebeh Wapemba Ati Cku Ya Mapnduz Walkua Wamelala,

Dua la mwewe halimpati kuku...
Wala tanganyika msiombe muungano kuvunjika bora mnganganie huo wa serikali 3. Kinyume chake naona nchi pande 2.. Wakristo na waislamu
Wapemba waliomo humu serikalini ndio wanaondosha ombwe la udini.
Waswahili husema mtu hamcheki mkwewe
 
Baada ya kutoka kwenye kilabu cha pombe naona umeua kutuletea Uzi ulojaa kasumba alokuachia baba wa taifa lako la Tanganyika, kwanza sisi watu wa Unguja hatuna ugonvi wala husda yoyote na ndugu zetu wa Pemba na hilo lemetufanya tuliishi mda mwimgi na ndugu zetu kwa salama na amani tokea DAHARI zamani kabla hataa RuHANI hajazaliwa na wala hana nia.....sasa cjui Waunguja wepi unaowazungumzia chapombe weyee....? au ndio walee walokija Unguja wamevaa kaptulla kutoka kwao wamekimbia kodi ya kichwa, na wengine wamekuja kuusindikiza Mwenge maskini hadi leo bado hawajaondoka na mwenge wao....nadhani hao ndio wanaojiita Waumguja ambao wewe ndio umaowaongelea, ila ndugu yangu elewa daima WAZANZIBAR tupo womoja tokea dahari zamani.
 
ili yale maandiko yapate kutimia? Kwamba nje ya muungano kuna uzanzibari na uzanzibara? Kwani muungano si utaendelea kuwepo?
Kama ni maandishi ya Mungu basi hapanashaka, ila kama ni maandishi ya maluuni Nyerere basi yamepotea njia, maana Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano na itaendelea kuwepo tena nje ya Muungano, na huyo baba yenu alosema upuuzi huo, ameondoka yeye lakini Zanzibar ameiacha pale pale...na huo ndio utukufu wa Zanzibar
 
Aliiacha Zanzibar ipi? ile ya Jemshid au ile iliyekombolewa na John Okello wakati mkiwa mmelala usingizi fofofo?
 
Zanzibar ni moja tuu, walobadilika ni watawala na mifumo yao na hiyo ndio Zanzibar yetu tuitakayo, lakin nikujuze ndugu yangu Mtanganyika, Wazanzinar tulikua hatuja lala bali tulinogewa na utawala wa hakki uliongozwa kwa misingi ya Kizanzibar tena bila ya ubaguzi na ndio maana mababu zenu waliikimbia Tanganyika yao kwa kutozwa kodi ya kichwa na wakapokelewa Zanzibar na wakapewa haki zote kama RAIA wengine wa dola ya Zanzibar....
 
Kama ni maandishi ya Mungu basi hapanashaka, ila kama ni maandishi ya maluuni Nyerere basi yamepotea njia, maana Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano na itaendelea kuwepo tena nje ya Muungano, na huyo baba yenu alosema upuuzi huo, ameondoka yeye lakini Zanzibar ameiacha pale pale...na huo ndio utukufu wa Zanzibar

Ndugu yangu, matusi na kejeli kwa waasisi wa Taifa kamwe hayatawapa mamlaka kamili. Hao hao wanaomkejeli Nyerere leo baada ya kujitenga watamkana hata Mzee Karume maana wengi ndio wale waliokuwa wanapinga mapinduzi aliyoyaongoza. Watu makini katika karne ya 21 hawatazungumza utengano kama kipaumbele badala yake watafuta namna ya kuondoa vikwazo ili waishi pamoja kupambana na changamoto za dunia inayoungana.
 
Kama ni maandishi ya Mungu basi hapanashaka, ila kama ni maandishi ya maluuni Nyerere basi yamepotea njia, maana Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano na itaendelea kuwepo tena nje ya Muungano, na huyo baba yenu alosema upuuzi huo, ameondoka yeye lakini Zanzibar ameiacha pale pale...na huo ndio utukufu wa Zanzibar

Wewe unaijua Zanzibar au umeikuta Zanzibar na utaiacha? Wacha ushabiki wa ki pu mbavu wewe. Wanaoijua Zanzibar na kuitetea ni wale wenye kujali maslahi yao wewe utapiga kelele hapo na Zanzibar huru lkn hamna kitu unachopata.
Kuwa wide zaidi mtafute maisha bora kwa kuweka misingi imara ya kumjali mzanzibari not blahblah
 
izo kelele unazopiga wew na hizo bla bla wa Watanganyika wenzio dhidi ya Zanzibar kwani nanyi zawasaidia kitu gani...? mm kushabikia Zanzibar sio kharamu maana ndio kwetu, ww mwenzang cjui unashabikia nin...? suala la kuitetea Zanzibar ni wajibu wa kila Mzanzibar anayeijua heshma yake na kuuthamini utu wake, na kwa hilo kaka yangu tumepiga hatua, tunasubiri cku tu ifikeee
 
Dua la mwewe halimpati kuku...
Wala tanganyika msiombe muungano kuvunjika bora mnganganie huo wa serikali 3. Kinyume chake naona nchi pande 2.. Wakristo na waislamu
Wapemba waliomo humu serikalini ndio wanaondosha ombwe la udini.
Waswahili husema mtu hamcheki mkwewe

Mawazo ya kipuuzi sana haya
 
Nje ya Muungano kuna wale wapemba, sisi waunguja, patamu hapo hadi kieleweke:clap2:baragumu limepigwa:horn::fencing:tuyanoe yakae tayari maana :bange:hazitatosha labda tuongeze na :shetani::shetani:yangu macho tutamaliza vijumba vya wapeemba weweee hapo dar es salaam kama wao wanavyowachapa bakora wasukuma mwezi mtukufu kule kwao
 
Nilimaansha, Kwan Uchaguz Wa Timu Ya Vjana Zanzbar Ilileta Utata Wapemba Walilaum Kuwa Kwann Wachezaj Wng Watoke Uguja?? Na Hata Kuanzisha Tmu Inaitwa Jamuhur Ya Pemba Inamaana Kubwa Tafakarn Sana Mcmwage Povu Tu
 
MOD Ondoa Uzi huu, ni uzi wa uchochezi wa kidini na kikabila, Tuangalie yanayoendelea CENTRAL AFRICAN REPUBLIC hivi leo, hivyo kweli jamaani tunataka hayo ndani ya hapa kwetu. Please dont encourage these types of postings remove them
 
Udn Upo Wapi Jamii Ya Muungano Lazma Ijue Kuwa Nje Ya Muungano Kuna Wao Waunguja Cc Wapemba Leo hii N Sis Watanganyka Wao Wazanzbar Tafakar Eny Mnaochukia Muungan
 
Baada Ya Katiba Ya Zanzibar Kutambulika Rasmi Katka Katiba Ya Tanzania Kwa Kuitambua Kua Zanzbar Ni Nchi. Waunguja Weng Wanafurahia Hilo Na Wengne Hawautak Muungno Lakn Naiona Jamuhur Ya Watu Wa Pemba Inakuja Kwan Waunguja Huwakebeh Wapemba Ati Cku Ya Mapnduz Walkua Wamelala,
Halafu nini baada ya Jamhuri ya watu wa Pemba? Kawaulize wa Sudan ya kusini kinachowatokea.
 
Kuwepo kwa Muungano ndiko kunakoilea bara ,ingawa sasa maji yanazidi unga kwani tayari Tanganyka kuna vita au hamjui ???
Tanganyka kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe vimebatizwa jina la vita vya wakulima na wafugaji Kweli au uongo ? Hivyo ni vita tu,vipeni majina mtakayo lakini dosari ya cheche hizo mnaijua ? Je hio haiwezi kuwa vita ya ukabila ? Ni Nini tafsiri ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ? Ni nini tafsri ya vita vya ndani ya nchi ? Wanasema cheche huzaa moto mukubwa au sio ?
Zanzibar hatuna upuuzi huwa hakuna vita vya wavuvi na wakwezi ,hatunayo hayo kabisa ,tumesimama kwenye misingi madhubuti sana yenye kudhibitiwa na dini yetu kuu ya kiislamu.

Huko Tanganyika si muda mrefu kutavurugika ,sasa hivi ile msemo ya Katiba Mtanzania anayo haki ya kuishi popote haipo wala hautumiki tena ,wafugaji wanatimuliwa na mkulima hana nafasi ni vurugu mechi tu,kweli uongo ???
 
Nilimaansha, Kwan Uchaguz Wa Timu Ya Vjana Zanzbar Ilileta Utata Wapemba Walilaum Kuwa Kwann Wachezaj Wng Watoke Uguja?? Na Hata Kuanzisha Tmu Inaitwa Jamuhur Ya Pemba Inamaana Kubwa Tafakarn Sana Mcmwage Povu Tu

Zanzibar ni moja na watu wake daima watakuwa wamoja licha ya fitina nyingi zinopandikizwa na Watanganyika eti kwa kuulinda Muungano kharamu, na hata kama ipo, migogoro ya Wazanbar ni yao wenyewe Watanganyika mnaumia nini?
 
Dua la mwewe halimpati kuku...
Wala tanganyika msiombe muungano kuvunjika bora mnganganie huo wa serikali 3. Kinyume chake naona nchi pande 2.. Wakristo na waislamu
Wapemba waliomo humu serikalini ndio wanaondosha ombwe la udini.
Waswahili husema mtu hamcheki mkwewe

serikali tatu za nini 'watanganyika' tunataka moja tu.
 
Back
Top Bottom