jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Zanzibar ni moja na watu wake daima watakuwa wamoja licha ya fitina nyingi zinopandikizwa na Watanganyika eti kwa kuulinda Muungano kharamu, na hata kama ipo, migogoro ya Wazanbar ni yao wenyewe Watanganyika mnaumia nini?
Nyinyi na sisi nani watu wa fitna? Hebu kumbuka vyama vilivyokuwepo kabla ya muungano:
ASP: Afro-shirazi party; ZPPP: Zanzibar and Pemba People Party, Muslim association ....hapo kulikuwa na umoja kweli?