Ninaiona DAR hisiyo salama Rais, chukua hatua hizi.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Habar za jumapili wadau mliopo jijin DAR,

LEO nimejiwa na wasiwasi, hvi kamati ya ulinzi ya mkoa ambayo Ndugu, yangu Paulo Makonda,ina imani nae tena kuendelea kufanya nae kazi baada ya kumshitaki SIRRO KWA waziri mkuu?

Jana nilikutana na jamaa yangu Shushu, mzoefu yupo pale kwa mkuu wa Mkoa, jamaa anasema yeye hataki hata kumuona huyu kijana maana ana adabu na watu wazima, ''we si umeona juzi alivyo mfanyia mzee wetu Sirro, na sikufichi miongoni mwa wapiga kazi wazuri na wasafi ndani ya jeshi la police, sirro alikuwa safi sana huwezi mfanannisha na TIBAIGANA, KOVA NA wengine''

Kama hali ipo hivi, najiuliza Kamati ya ulinzi iko imara kiasi gani? ulinzi unaitaji ''unity''
hawa watu sio wamoja tena.
Je SIRRO akitangazwa kwa yuko safi hakuchukua rushwa, je atakuwa tayari kufanya kazi na MAKONDA?

DR. MAGUFULI FANYA HIVI!

kWANZA hama mkoa haraka sana nenda dodoma ili uendelee kuwa salama.ulinzi wa dar umeyumba.
pili mwamishe Makonda maana huwezi sema uamishe kamati nzima ya ulinzi wa mkoa, ni gharama sana kuliko kumwamisha mtu mmoja.

Tatu; Tengeneza utaratibu wa kulinda heshima za watu waiio tumikia taifa kwa muda mrefu na bado wanatumikia taifa, mtu kama sirro hawezi na hatakiw kujibisha hadharani kama na kijana kama makonda ambae ni mtoto wa kumzaa.
Mwisho Mkuu wa kaya naendelea kukupongeza kwa kuendeleza uteuzi wako mzuri, ila Ajira kwa vijana wetu lini( hako nilikuwa nachomekea kidgo mkuu ila kama kamekufikia kajibu tu!
 
Hapa ni jazba imetawala tu. Ngojeni kwanza hizi tuhuma zifanyiwe kazi na vyombo husika.

Mkuu wa nchi amependezwa na uchapakazi wa Mh Makonda na atampa kazi kubwa zaidi. Na hao wauza unga wasithubutu kwenda tena kumhonga Makonda atawakamata na kuwapeleka Takukuru
 
Natamani sana mleta uzi uswekwe ndani angalau wiki kwa kosa la uchochezi, nani kakwambia Dar hakuna usalama? Inakuwaje unabiba hisia za viongozi wetu ambazo hazikuhusu? n.k
 
Kwanini vijana wa Ufipa mnamchukia sana Mh. Makonda?
kwa lile suala la kamanda Sirro ni wengi wamekerwa na mh Makonda bila kujali itikadi za kisiasa.
udhalilishaji ule wa kujitafutia sifa kwa kuwaaibisha viongozi wengine haufai. yale yalikuwa ni mambo ya kuulizana wenyewe ofisini.
 
Kwani ulinzi wa mpangaji pale magogoni wategemea kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa?!
 
Mkuu wa nchi amependezwa na uchapakazi wa Mh Makonda na atampa kazi kubwa zaidi. Na hao wauza unga wasithubutu kwenda tena kumhonga Makonda atawakamata na kuwapeleka Takukuru
kwani hiyo mara ya kwanza alishindwaje kuwakamata?au polisi wote na TAKUKURU walikuwa likizo?
 
Vijana wanalalamika Serikali haiwapi Ajira,, wakipewa hiyo Ajira basi haraka sn wanaota mapembe na kuwatukana viongozi waandamizi,,

Sasa huyu mkuu wa mkoa kweli anatoa picha gani kwa Serikali ktk kutoa nafasi kwa vijana?
Kweli ukimsifia mgema ,,basi Tembo hulitia maji,,
 
Back
Top Bottom