Ah hapo unapata tv nzuri kbs mkuu minnilizani nintia maji tia maji tu lako 5 kumbe ni m kbs ngpja nitazameMkuu....isizidi 2M
Nchi ngapi mkuu kuna moja nchi 49 kama uko serious brand new sumsung na box lake uko mkoa gani kwanzaMkuu....isizidi 2M
poa ngoja nikuchekieNiko Dar lakini naapendelea at least 55"
mkuu umewaweza ngoja wachakarikeMkuu....isizidi 2M
Hio hela ya kununua TV Brand ya kueleweka kabisa. Tafuta Sony 4K Android Smart tv utaipata kati ya 1.8M mpaka 2M. Hio haina upambe, hakikisha wakupe na warranty yake tu.Habari ya muda huu wakuu!
Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri. Kama unafahamu duka au wakala wa kuuza TV zenye ubora (original) na warranty halisi naomba unisaidie.
Shukrani.
Kwa hiyo bei nenda mwenyewe Kariakoo fanya booonge la window shopping, soma kwa net/utube ujiridhishe, share na jirani zako varieties of TV utakazo then nunua kitu unapenda!
2M parefu asee! Japo kuna moja pale Mlimani City enzi zile tunaenda kuuza sura tunatoka na pop cones za buku jero tulikuta TV linauzwa 75M aisee kidogo niugue.....
Box la nn!?Nchi ngapi mkuu kuna moja nchi 49 kama uko serious brand new sumsung na box lake uko mkoa gani kwanza
Hahaa duh mkuu ebu nieleweshe kdg apo ni 75M au 7.5MKwa hiyo bei nenda mwenyewe Kariakoo fanya booonge la window shopping, soma kwa net/utube ujiridhishe, share na jirani zako varieties of TV utakazo then nunua kitu unapenda!
2M parefu asee! Japo kuna moja pale Mlimani City enzi zile tunaenda kuuza sura tunatoka na pop cones za buku jero tulikuta TV linauzwa 75M aisee kidogo niugue.....
Milioni 75 mkubwa! Yaani ndo tuliamua kutoka nduki! Haya maisha bana, wewe unaweza kuona umenunua Sanlg ukajiona bingwa, kumbe kuna jamaa lingine somewhere limenunua simu ya 14Milion na mwakani linabadili ingineHahaa duh mkuu ebu nieleweshe kdg apo ni 75M au 7.5M