Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri

nasssen

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
482
506
Habari ya muda huu wakuu!

Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri. Kama unafahamu duka au wakala wa kuuza TV zenye ubora (original) na warranty halisi naomba unisaidie.

Shukrani.
 
Hio hela ya kununua TV Brand ya kueleweka kabisa. Tafuta Sony 4K Android Smart tv utaipata kati ya 1.8M mpaka 2M. Hio haina upambe, hakikisha wakupe na warranty yake tu.
 
Kwa hiyo bei nenda mwenyewe Kariakoo fanya booonge la window shopping, soma kwa net/utube ujiridhishe, share na jirani zako varieties of TV utakazo then nunua kitu unapenda!

2M parefu asee! Japo kuna moja pale Mlimani City enzi zile tunaenda kuuza sura tunatoka na pop cones za buku jero tulikuta TV linauzwa 75M aisee kidogo niugue.....
 
Mkuu...naweza pata wapi hii aise? Naomba nisaidie.
 
Hahahahaha....hili dude lilituyymbisha wengi sana aise.
Kwa hiyo bei nenda mwenyewe Kariakoo fanya booonge la window shopping, soma kwa net/utube ujiridhishe, share na jirani zako varieties of TV utakazo then nunua kitu unapenda!

2M parefu asee! Japo kuna moja pale Mlimani City enzi zile tunaenda kuuza sura tunatoka na pop cones za buku jero tulikuta TV linauzwa 75M aisee kidogo niugue.....
 
Kwa hiyo bei nenda mwenyewe Kariakoo fanya booonge la window shopping, soma kwa net/utube ujiridhishe, share na jirani zako varieties of TV utakazo then nunua kitu unapenda!

2M parefu asee! Japo kuna moja pale Mlimani City enzi zile tunaenda kuuza sura tunatoka na pop cones za buku jero tulikuta TV linauzwa 75M aisee kidogo niugue.....
Hahaa duh mkuu ebu nieleweshe kdg apo ni 75M au 7.5M
 
Milioni 75 mkubwa! Yaani ndo tuliamua kutoka nduki! Haya maisha bana, wewe unaweza kuona umenunua Sanlg ukajiona bingwa, kumbe kuna jamaa lingine somewhere limenunua simu ya 14Milion na mwakani linabadili ingine

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom