Ninahitaji mpenzi wa kike

Ninahitaji mpenzi wa kike

Nenda kambi ya fisi kama uko dar au pale kwa macheni mkuu.trust me utapata mke


swissme
 
Ni mwanaume mrefu, 6 feet, mweusi wastani na mwembamba, nina elimu wastani, ni mkristo safi,
NAHITAJI MPENZI TOKA MIKOA YA PWANI AU DAR, ; mweupe, maji ya kunde au brown inayong'aa, mkristo na elimu wastani au zaidi, my number is 0659 288 360, if we will agree, we will plan to live together and marriage,

Sawa namba umeweka vp picha
 
Aisee!!!!!!!!!! kwani mkristo safi anachaguliwa mke na mchungaji???????????

Makanisa mengi ya kiroho ukimpenda binti unaenda kwa mchungaji umuulize kama ana mtu tayari, sasa huoni mchungaji anaweza chezesha karata vibaya, kumbuka huruhusiwa kumwambia binti kama unampenda mpaka go ahead ya mchungaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom