Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Ndugu zangu nahitaji mini laptop ya bei rahisi kabisa itafika shilingi ngapi?
hiyo hela ushauri ununue tablet
inategemea unataka inayorrun os gani lakini pia inategemea ni kampuni gani(manufacturer) zaidi ya yote bei inategemea kama unataka used au mpyaHiyo tablet ni shilingi ngapi