Ninahitaji mchumba wa kiume

Kwanini unaogopa kupata wa kanisani,mtaani,kijijini kwenu au ndio washamaliza mchuzi?
 
follow me on facebook,patrick.elias.5661/Facebook.com, 2chat zaidi!
 
Kisendi said:
Huyu anatuzuga.kama anamtoto je ni mjane
Nafikiri Hapa Papatiwe JIBU.Wajanja WAMESHAFONZA UTAMU
 
Mie sijaajiriwa wala kuajiriwa elimu yangu bachelor lkn nina mapenz ya kweli naomba nafas.
 
Taja sifa zako kama umri wako,din,..... ili kuwapata wausika na taja pia sifa za mtu unaye mtaka

....
 
Kiukweri sifa katika mapenzi elimu kazi vyote anapanga Mora mbona diamond alikuwa muuza screper gerezani KARIAKO na sasa yupo na sepetu OK no p u can call 0719880848
 
mi mwenyewe natafta mke wa kuoa kaz yangu mwl nipo tukuyu mbeya cna vgezo wala mashariti kwa aliye tayari ni pm
Ww tafuta wa huko huko tky na dar wapi na wapi unafikr atakubal kuna kuishi huko?
 
Hakuna mkurya anayeweza kuoa mwanamke mwenye mtoto , usidanganye
 
Kuona tu mchaga hamu ikakata kugeuza shingo una na mtoto basi ndo sitamani tena!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…