Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
unacheka!...unawezeje kulicheka jiwe?hahahahahahahayamekukuta yapi tena, tulikwambia sisi.. mi ela sirudishi, kwanza ngoja nkakae mahari sa hizi..
u mean a place o bride price????hahahahahahaha yamekukuta yapi tena, tulikwambia sisi.. mi ela sirudishi, kwanza ngoja nkakae mahari sa hizi..
nina bahati, nilikuwa sijalipia ukumbi, vinywaji na chakula, natokomea nazo.
Bye bye, ulichumbia kicheche badala ya sungura?
......... ............ ........... ...........
Ooooh! Ngoja niwahi kuongea na voda wanirudishie mpesa yangu niliyotuma
Sasa huyo unayetaka kumuacha ana nafuu, market imejaa vicheche sungura hakuna mjini. Gangamala kaka!
tulia!...nimesema ntarudisha mara 3 kwa yeyote aliye changia ebo!
mngoja nikapige monde 3 kwanza halafu nilianzishe,hawezi kutuaibisha mchana hivi
Jamani!...jamani!.,jamai!
Ninahitaji kuvunja mahusiano na mwanandani wangu.(nadhani anajijua).Sababu ya kufanya hivyo ninayo,Nia ya kufanya hivyo ninayo,Uwezo pia ninao......enough is enough.Mama yangu Mammdenyi ntaomba ulizie hili haraka kabla hujanipoteza mwanao handsome boy,mwenye fedha mpaka naumwa.shemeji yangu Kijino itabidi ubariki hili kwakua unafahamu sababu zote,bestman Mu-sir itabidi ile shopingi tuliofanya kwaajili ya harusi tuanze kwenda kunywea bia mara tu ya ridha kutoka kwa mama yangu.pia junior .Cux unaombwa ukae tayari tayar kuanza kurudisha michango yote kwa wanakamati wangu wote,kwani baada ya ridha hakuna ndoa tena.wale mashankupe jiandaeni kushangiria nafas zenu kuwa nyeupe.NIMETAFAKARI SANA NIMEGUNDUA TATIZO NI HUU UHUSIANO,NIMEAMUA KUACHIA NGAZI,mama nakusubir mwanao utoe ridha
kwani kimetokea nn tena shemeji? Mbona hvyo wataka nliza? Na hzo nguo za maharuc nilizoagiza atavaa nani? Mana nimeagiza uingereza nanimeshalipia, nextwk zaja, jamani hebu 2juze kulikoni?