omary nkilijiwa
Member
- Apr 4, 2025
- 10
- 1
Msaada jamani ninahitaji kufahamu kuhusu biashara ya mabondo ya samaki
Swim bladder au air bladder - ni kiungo katika mwili wa samaki.Mabondo ndio manini tena???
kwahiyo nikiwa nanunua kwa wavuvi inabidi niwe napeleka kuuza kwenye viwanda vyao hao wachina na hakuna soko jingineMkuu hii biashara japo siijui sana, ila nimetembelea viwanda vingi au vyote vya mabondo kwa Mwanza. Vyote ni vya wachina. Na soko liko huko kwao. Upatikanaji wa uhakika wa bondo ni visiwa vilivyopo lake Victoria, lakini wavuvi wengi huwa wanawauzia wachina na si waswahili kwa sababu wachina wananunua bei nzuri na pia wanawapa wavuvi mikopo mikubwa tu ili wawe na uhakika wa supply ya bondo.
Kuna processing pia ambayo inafanyika, sijajua sana wanaweka madawa gani, zinakaushwa na kusafirishwa kwenda China. Hii ni USD business, dollar kama zote.
Ukitaka kuingia ufanye vizuri tafuta mbia mchina maana soko liko kwao, hapa hamna soko.
Haya ni maelezo ya samaki aina ya sangara from lake Victoria. Sijajua kwa upande wa samaki wa baharini.
pia kuhusu usafirishaji inabidi niyakaushe kwanza ndipo naenda kuwauzia au wananunua yakiwa fresh wanakausha waokwahiyo nikiwa nanunua kwa wavuvi inabidi niwe napeleka kuuza kwenye viwanda vyao hao wachina na hakuna soko jingine
Yes hakuna soko lingine zaidi ya kwa wachinakwahiyo nikiwa nanunua kwa wavuvi inabidi niwe napeleka kuuza kwenye viwanda vyao hao wachina na hakuna soko jingine
Ukiweza kuyafikisha yakiwa fresh ni sawa wanayachukua, na yaliyokauka pia wanachukua. Wengi wanayakausha sababu ya kuogopa kuharibika especially kama kuna distance toka hapo anapoyatoa mpaka anakoenda kuuza, Au wakati wanakusanya yawe mengi kabla ya kuyapeleka kwa mchinapia kuhusu usafirishaji inabidi niyakaushe kwanza ndipo naenda kuwauzia au wananunua yakiwa fresh wanakausha wao
Ukiweza kuyafikisha yakiwa fresh ni sawa wanayachukua, na yaliyokauka pia wanachukua. Wengi wanayakausha sababu ya kuogopa kuharibika especially kama kuna distance toka hapo anapoyatoa mpaka anakoenda kuuza, Au wakati wanakusanya yawe mengi kabla ya kuyapeleka kwa mchina
Sina utaalamu sana ktk teknolojia ya ukaushauji mkuuanhaa sawa,kwenye kuyakausha hapo kuna utaalamu au kemikali inayotumika au ni kwa kutumia mwanga wa jua tu
Sina uhakika sana na mabondo ya huko kiongozi, nina idea kidogo na mabondo kwa lake Victoria, ngoja waje wenye ujuzi na ziwa Tanganyika, hawawezi kukosekana humuMimi nipo huku kwenye ukanda wa ziwa tanganyika,huku pia kuna sangara lakini kama unavojua hili ziwa lina maji chumvi ,hicho kinaweza kua kikwazo kwenye hii biashara,namaanisha samaki wa kwenye maji chumvi mabondo yao pia yananunulika ?
Sawa mkuu shukrani sana 🙏🙏Sina utaalamu sana ktk teknolojia ya ukaushauj
Sina uhakika sana na mabondo ya huko kiongozi, nina idea kidogo na mabondo kwa lake Victoria, ngoja waje wenye ujuzi na ziwa Tanganyika, hawawezi kukosekana humu
Kumbe Lake Tanganyika lina maji ya chumvi, ndio nafahamu leo.Mimi nipo huku kwenye ukanda wa ziwa tanganyika,huku pia kuna sangara lakini kama unavojua hili ziwa lina maji chumvi ,hicho kinaweza kua kikwazo kwenye hii biashara,namaanisha samaki wa kwenye maji chumvi mabondo yao pia yananunulika ?
ndio Kaka ni ziwa lakipekee sana hili tofauti na mengineKumbe Lake Tanganyika lina maji ya chumvi, ndio nafahamu leo.