Phynah
New Member
- Nov 25, 2020
- 4
- 4
Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya vitafunwa. Eneo linalohitajika liwe na mzunguko mkubwa wa watu (high foot traffic) na ni vema kama watu wanakesha usiku kucha.
Kwa sasa ninafanya kazi Chanika na mzunguko ni mzuri sana kwahiyo ninahitaji kufungua location ya pili. Ninaombeni mnisaidie ushauri wa maeneo gani Dar yana mzunguko mkubwa na watu wanakesha au kukaa mpaka usiku sana (saa 8 mpaka 9 usiku). Ninatanguliza shukrani.