- Thread starter
- #21
Ni rahisi sana kupata hizi fedha ndugu yangu Biashara yoyote duniani inahitaji Mtaji na Sources za mitaji zipo nyingi tu kama Shares, Bonds na debts na soko la mitaji ni kubwa sana kwa sasa hapa Tanzania ebu tembelea soko la hisa la Dar-es-sallam uone mitaji ilivyo ya kutosha Tatizo Serekali haija amua kuendesha Miradi kibiashara na hapo ndipo nnapo hisi kuwa huenda sisi tumelogwa.