Ninahisi trainer wa gym anamtaka mke wangu, tusaidiane wale wake zenu wanaoenda gym. I smell something fishy

Wanawake tusipopewa close supervision Kuna wakati huwa tuna dharau na kujisahau kabisaa.

Huko gym yanafanyika machafu mengi Sana Kama anataka mazoezi muwezeshe afanye hom na Kama anataka kupungua ale kwa afya bas aachane na gym
 
Tatizo mnatupa Uhuru uliopitiliza...tunazurura kama hatujaolewa bado tupo kwa baba na mama. Kuweni wanaume basi ili nasi tuheshimike kama wake za watu jamani.

Inwezekana pia ila wakati mwingine na nyie muwe na mipaka ya kimazoea na mnaokutana nao (Lazima mchore mstari usio na chembe ya taa ya kijani).
 
Nilimwambia hivyo kumtia moyo
Ushauri wangu aache kuendekeza mwanamke ampige stop ya gym la sivyo gym trainer atalifilisi duka la hardware maana nasikia ni marioo waliochangamka
Kuna siku atakuja kuomba ushauri duka la hadware linaenda filiska kumbe mke kahamisha mtaji kwa mariooo
 
Sawa basi kumbe sio wewe ndio nikashangaa kibabu chenye wajukuu eti bibi anachepuka nikaona anyways labda bado damu sio baridi bado ni moto .
Pole kababu ketuuu shie nimekosea .
Basi sawa. Mahari nijiandae lini kuchukua? Thamani yako mwambie kabisa mkwe ajipange...
 
Kuna wale jamaa wa "unamkojoza vizuri??"
"Una uhakika ni mkeo huyo??"
"Zamu ya marioo""


😃😃naona leo wametulia
 
Mke wangu gym naenda naw haendi mwenyewe. Kuna gym trainer mwana hapa Chugga anawatafuna kweli kweli wake za watu Hadi wamama wa kiarabu na kihindi wanaokuja kukata vitambi
 
Basi sawa. Mahari nijiandae lini kuchukua? Thamani yako mwambie kabisa mkwe ajipange...
Ilishatolewa kabisa na ilikuwa sio mbaya iliridhisha watu sai mimi naitwa mama jjj nawatoto mapacha watatu mpigo wavulana 2 msichana mmoja wanaumri wa miaka miwili nanusu .
Mume wangu kwa sasa anaumri wa miaka 51.
 
Haya ndio mazoezi mkeo hupewa na trainer! Kama bado unapenda ndoa yako mkataze ila kama umeishaikatia tamaa muache
Screenshot_20220407-111850.jpg
 
I am very stressed about and suspicious of my wife with her gym trainer mara sijui mwalimu. I have no other place to turn for advice. I appreciate that what im about to say could be construed as a typically male response to what others might feel is really nothing.

They obviously get on very well, they keep texting each other mara sijui ukiamka ruka kamba saa 12 asubuhi wtf. I found out by chance and it took a lot of courage to confront her, not wanting to be seen as unreasonable and jealous kwa kuwa nampenda na kumuamini sana.

She denied there was anything going on between them. Her explanation was that they do training together and nothing else.

The texting was just banter between friends, she said, even though he was telling her lots of personal things which one would only share with very close friends.

However, she agreed the texting was at times too personal and it would stop.

My wife was frank with me for a while but I sense that they have started contacting each other again or has it ever stopped?

I have tried to see things her way but it is not easy

Can a man have an innocent friendship with a beautiful married woman?

And as a person, does not care about any consequences?

I will have to tell him to keep out of my wife, vinginevyo nitaamfanya kitu kibaya sana.
Ungeandika kiswahili ningekupa ushauri mzuri tu ,, kwa sasa pokea ushauri wa watu wa English medium
 
Yoo, my nigga this be sm fkd up shit. One thing i knw is, that nigga wouldn flirt with your girl if she diddnt let him do that first. She didnt set the boundaries from the beggining.

My advice, one, talk to her about it and let her know that if she can do that then she should know u can do it too if i want to. Two, go with her to the gym and let him see that she is taken.

Three, start working out too. Every girl likes a well packed man, in her mind she anticipates how he is gonna rearrange her guts while making love to her. Get on the treadmill, eat right, lift weights, make her jealous too.

Four, spend time with her, if she is seeking comfort and validation from outsiders then its obvious that she aint gettin that from you. Compliment her, encourage her, take her out on dates, make it like u r starting to date her right now and all that.

Five, show her that you are confident enough as a man, sont be a sissy jus because she is entertaining some other nigga.
Six; blow her brains out in bed!
Tena akienda nae gym amshike matako kweri kweri mpaka jamaa wa gym asikie wivu na ajue nyumbani yanashikwa mara mbili yake...
 
Back
Top Bottom