royal tourtz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 255
- 325
kumbe mwanamke mnafurahia kubanwa na mume na ile sauti ya ukali kias??Tatizo mnatupa Uhuru uliopitiliza...tunazurura kama hatujaolewa bado tupo kwa baba na mama. Kuweni wanaume basi ili nasi tuheshimike kama wake za watu jamani.