chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
- Thread starter
-
- #41
Nnakiri nlifanya makosa sana kumuacha binti wa watuStrong woman ni yule anayeoekana weak machoni pa jamii na mwanaume wake.
Wanawake wanaaminishana srong woman ni yule ambaye ababishwi na mwanaume yaani ana hela,kazi,cheo,kiburi yaani hana shida sasa type hii uwaga ni strong nje halafu moyoni stress tupu.
Wewe ulipata strong woman,mwanamke mwenye uwezo wa kukuheshimu,kukusamehe,kukuvumilia wewe na upuuzi wako wote sasa tatizo lako hukujua kwamba una mwanamke mwenye nguvu ukawa unachukulia easy tu,wakisepaga hao ujue ndo kimoja na manung'uniko yao kiasi flani yanafika kwako sababu wanapenda kwa moyo wote..
Ungekutana na hawa wanaojiita strong woman na ndani dhaifu hiyo mikosi isingekupata manake kwanza wasingevumilia pili wana kibri kwahiyo mwanaume tyr unakuwa ushaona huyu hafai na plan B unakuwa nayo,no guilt no mikosi.
Ogopa ku date wanawake wanao appear weak ukifanya ungese wanakusamehe au wanakuvumilia,type hii wana nguvu flani hivi ambayo haionekani lakini ipo
Mke Wa mtu sumu sina hata mawazo ya kua nae shida nnahisi nna hatia juu yake mambo kwenye mapenzi hayaendi poaNi Bora hiyo karma inayoku hunt Sasa kuliko iyo itakayokuja ya kutembea Na mke wa mtu mkeo akagongwa mpaka Na vichaaa
Mm ndo nlimkosea broSasa kama mligombana ndio mkaachana...! Unauhakika gani kama wewe ndio mwenye kosa? Au umeshindwa kujieleza tukuelewe?
Hapo ndiyo atakapo haribu kabisa kwani kumfanyie mtu mwingine uovu.Kuwa nae kisirisiri,ila ujue kuna unaweza kupatwa na chochote kwasababu hadi sasa jamii haikubaliani nakutembea na mke wa mtu,badala yake wengine wamekua wakitafuta vijana ili wawabake nakurekodi halafu video zinasambaa.
Sasa wakuu tatizo nililonalo ni kwenye mahusiano mapya yaaani sikai kwenye mahusiano napiga chini tuu mabinti wa watu bado ninahisi nina hatia kwa yule binti nilomfanyia nina hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo