chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
Kuwa nae tuuu kisiriAmani iwe kwenu wanajukwaa,,
Kwanza nianze kwa kuweka wazi hii ni true story achana na zile za achinua achebe .
Nilikua kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu wakati nko chuo huyo binti alinipenda sanaa na alikua na matarajio ya mm kumuoa sasa kimbembe nlipofika mwaka wa 4 chuon tukakorofishana nkampiga chini alilia sana alituma marafiki zake lakin nikakataa nakumbuka alikua akipiga cm usiku wa manane nkipokea analia kipindi hicho alikua kwao lakin ckua tayar kua nae tena ila nakumbuka neno la mwisho aliniambia chlorine gas nakupenda sana japo inaonesha dhahiri hunipendi ila nna kuhakikishia kama utakuja kuoa sio mimi.
Sasa yapata miaka 4 wakuu nakua kwenye mahusiano lakini yanakua na changamoto nyingi sana kuna cku nlimtafuta yule bint tukawa tunapiga story nkamdokezea kuhusu alonambia kipindi nmembwaga akanijibu amenisamehe Mana alishaolewa lakin anasema bado npo moyon mwake japo kaolewa na kibopa .
Sasa wakuu tatizo nlilo nalo ni kwenye mahusiano mapya yaaan ckai kwenye mahusiano napiga chin tyuu mabint wa watu bado nnahisi nna hatia kwa yule binti nlomfanyia nna hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo
Mkuu nahitaji kua na mahusiano ya kudumu kisha ndoa sasa hii acha acha inaniumiza nahisi kuna kuvu isiyo ya kawaida inasababishaSi uache kuwapiga chini kumbe mwanzilishi wa tatizo ni wewe.Mi nilijua unapigwa chini
Asante mkuu,,ntajitaidiAchana na hayo mawazo ya karma,hiyo ndio tiba pekee.We are what we repeatedly think.
What goes around comes around.Amani iwe kwenu wanajukwaa,,
Kwanza nianze kwa kuweka wazi hii ni true story achana na zile za achinua achebe .
Nilikua kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu wakati nko chuo huyo binti alinipenda sanaa na alikua na matarajio ya mm kumuoa sasa kimbembe nlipofika mwaka wa 4 chuon tukakorofishana nkampiga chini alilia sana alituma marafiki zake lakin nikakataa nakumbuka alikua akipiga cm usiku wa manane nkipokea analia kipindi hicho alikua kwao lakin ckua tayar kua nae tena ila nakumbuka neno la mwisho aliniambia chlorine gas nakupenda sana japo inaonesha dhahiri hunipendi ila nna kuhakikishia kama utakuja kuoa sio mimi.
Sasa yapata miaka 4 wakuu nakua kwenye mahusiano lakini yanakua na changamoto nyingi sana kuna cku nlimtafuta yule bint tukawa tunapiga story nkamdokezea kuhusu alonambia kipindi nmembwaga akanijibu amenisamehe Mana alishaolewa lakin anasema bado npo moyon mwake japo kaolewa na kibopa .
Sasa wakuu tatizo nlilo nalo ni kwenye mahusiano mapya yaaan ckai kwenye mahusiano napiga chin tyuu mabint wa watu bado nnahisi nna hatia kwa yule binti nlomfanyia nna hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo
We unafukuza nyuki alafu bado unataka asali kaa chini tafuta mmoja utulie nae .Mkuu nahitaji kua na mahusiano ya kudumu kisha ndoa sasa hii acha acha inaniumiza nahisi kuna kuvu isiyo ya kawaida inasababisha
jibu analo afu anaomba ushauriSi uache kuwapiga chini kumbe mwanzilishi wa tatizo ni wewe.Mi nilijua unapigwa chini
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kaziJipe muda kidogo nje ya mahusiano tumia muda huo kufanya reflection ya attitude yako kwenye relationships kama unataka kubadili chochote kwenye maisha yako, anza kwa kubadili attitude yako.
Siwez kua nae kaka siwezi nmechoka kbsa na usumbufuMrudie binti muendelee kimya kimya huku ukiendelea kusubiri karma ya mke wa mtu ...siku nyingine uje uombe ushauri wa karma ya make wa mtu
Siwezi kua nae kbsaKuwa nae kisirisiri,ila ujue kuna unaweza kupatwa na chochote kwasababu hadi sasa jamii haikubaliani nakutembea na mke wa mtu,badala yake wengine wamekua wakitafuta vijana ili wawabake nakurekodi halafu video zinasambaa.