Adult Learner
Member
- Aug 30, 2014
- 24
- 2
nina hamu sana ya kumpata mchumba mwenye mapenz ya kweli, niliyekuwa nae kanikataa kisa kumwambia naenda kusoma.
Eeh kwa nini babe hataki ukasome? Anahisi utaibiwa huko nini?
mkuu huko huko unakoenda kusoma utapata mchumba tu
na ndo huyu huyu aliesema ana mtaimbo mkubwasi wewe ulikua unatafuta mjane?