Ninahamu na mwanamke lakini si mke wangu

Ninahamu na mwanamke lakini si mke wangu

Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.
408208_432601563449266_526923530_a.jpg
 
tatizo mshajengeana mazoea ya kumuana mmoja wenu ni wakaida!! msiish kama kaka na dada labda kama mlitimiza tu wajibu wa kuoana bila kuchunguzana kimawazo na kimatendo!
 
tatizo mshajengeana mazoea ya kumuona kila mmoja wenu ni wakaida!! msiish kama kaka na dada labda kama mlitimiza tu wajibu wa kuoana bila kuchunguzana kimawazo na kimatendo!
 
Bado tu haujachapiwa? urudi tukupe ushauri mwaya. Au hamu na mkeo ilirudi kabla haujagundua foul play?
 
Watu msokula Beer uwa mna matatizo mengi sana ya kimahaba. Ila ukimegewa hamu itakuja tu.
 
Hayo nimatatizo ya akili tu yatapita. Home is best kaka hata kama ungekuwa na michepuko 100!!
 
iliwahi kumtokea bwegentozeni fulani.... ni baada ya kumprove wrong demu wake kwani pindi walipoanza malovee kijana alikua na high expectations toka kwa huyo manzi..yani ilifikia kipindi ikawa haisimami kabsaaaaaaaa...
 
Yeye anapewa haki yake unajuaje huyo mwanamke ndo tatizo?
 
mi nina hamu ya boo la msukuma wangu tu hapa ...distant relationship nazo zina kero yake.......
 
Itakua mumechokana hafu roho mchafu wa ngono jaribuni kuchange environment ya Ku do sio kila siku sehemu moja hafu weka mawazo kwa mkeo utamuona ka angel
 
Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.

basi na sisi tukimuona mkeo tuna mtamani kwelii....piga nje na sisi tukupigie
 
Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.

Una hamu ya mwanamke kwani mkeo ni mwanaume? aah bhana, acha kumbania mwenzio!
 
Usijijengee Tabia Yakumwona Mkeo Nimbaya Hata Kidogo, Ulipomuoa Uliona Ndo Mrembo Leo Unamwona Mbaya, Rudisha Hisia Kwake Uone Alivyomzuri, Kama Kachakaa Mpeleke Saluni, Mnunulie Vipodoz Vyake, Mpige Pamba Utaona Alivyo Mrembo, Hao Wanje Unawaona Wanakuvutia Sababu Muda Wao Mwingi Wanashughulikia Urembo Tu Hawawazi Maendeleo, Nawakikujua Umemkinai Mkeo Watakutega Ukome Usambaratishe Familia Bure, Jitahid Kumwona Mkeo Ndo Kilakitu Kwako Lasivyo Utabadili Bucha Zote Nyama Nihiyohiyo
 
Back
Top Bottom