The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Wasipopita watazitapikaLesotho nao ni wabovu kama sisi
lakini pigo kwetu.
samatta kukosekana
all in all Jah bless taifstars
japo endapo atapita sijuh Mr pombe ataonaje huko
Potelea mbali, sisi tuko wengi, hivyo sala zetu zina kilo nyingi zaidiLakini kumbuka kua huyu Mungu pia ni wa hao Lesotho,nao pia watamuomba Mungu huyo huyo.
All the best.Potelea mbali, sisi tuko wengi, hivyo sala zetu zina kilo nyingi zaidi
All the best.[/QUOTE
khaaa!taifa stars ya wapi kwanza
haha sifatilii mpira ht kidg..kama.unadunga kwa taifa stars hebu uwe mkweli na nafsi yako mkuu..hao taifa stars wakifunga nakuomba uje 😛iyemu"..wakifunga taifa stars najiteka..watu mna mahaba jaman..bora u[emoji482][emoji482][emoji482]
Hujawahi kwenda uwanjani?haha sifatilii mpira ht kidg..kama.unafunga kwa taifa stars hebu uwe mkweli na nafsi yako mkuu..hao taifa stars wakifunga nakuomba uje piyemu"..wakifunga taifa stars najiteka..watu mna mahaba jaman..bora u[emoji482][emoji482][emoji482]