Ninafuga kuku aina ya kuchi anayehitaji ninawauza

Ninafuga kuku aina ya kuchi anayehitaji ninawauza

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,209
Reaction score
5,746
Nina kuku wa aina hiyo wa ukubwa tofauti ukitaka hata mayai yao yapo ukihitaji nijulishe
 
Mwezi june nitafikisha mayai yao Dsm enei la Boko Basihaya.
 
Nimeshakutumia na wengine waliohitaji kuona kupitia whatsapp hope mmewaona walivyo.
 
 
Nimegundua wateja wengi wapo dsm nitakachofanya ni kuleta specie yao huko huko by june Mungu akijalia nitakuwa Boko Basihaya wale mnaopafahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom