Ungeeleza ni magonjwa gani unayoweza kuyatibu kwa uhakika kuliko kuongea kwa ujumla. Paragraph ya pili kutokea mwisho imeharibu uzi wako, eti magonjwa wakishindikana hospital na nyie mjaribu BAHATI YENU, utaratibu wa kuneemeka kwenye magonjwa ya watu siyo mzuri.