MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Kama hali ikiendelea hivi hivi, kuna uwezekano CCM wenyewe wakabadilisha mgombea wa Urais,tunaweza kubishana sana humu na kutupiana maneno makali sana lakini kwa ninavyoona hivi sasa ni kwamba watu wamechoka!waliochoka ni wananchi wa hali zote, sio maskini hata watumishi wa umma, wanafunzi wa Elimu ya juu ndio kabisa.
Sababu pekee ibayombaba rahisi Magufuli ni Utoaji wa Elimu bure ambalo nalo limelalamikiwa kwa pesa kufika kiduchu mashuleni kiasi cha shule kushindwa kujiendesha, Sababu nyingine inayoibeba serikali kwa sasa ni ununuzi wa ndege mbili ambazo mpaka sasa wananchi wanahoji unaufaikaji waokwa moja kwa moja na ndege hizo hasa maskini ikiwa hali ya maisha ni ngumu.
Kuna suala la watumishi hewa, hili ni jambo ambalo linadaiwa pamoja na kifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini wataalam wa mambo wanadai kua pamoja na uhakiki huo kufanyika lakini bado matumizi ya pesa seriksli yanazidi kuongezeka tofauti na awali kabla ya uhakiki kuanza.
Kwahiyo Wanaccm wenyewe hawaridhishwi na hali ispokua wamekua ni waoga kulisemea kwa kuogopa kutumbuliwa, hii inaweza kuwafanya kufikia 2020 wakiwa na hasira ambazo wanaweza kuzimalizia kwenye sanduku la kura.
Watu hawawezi kuishi kwenye maisha magumu halafu warudi kumchagua tena Yule yule aliyewaumiza kwa muda mrefu, kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa Rais aliyepo akaongoza kwa miaka 5 tu tofauti na inavyotarajia hivi sasa.