Ninaanzaje kukukubali?

Ninaanzaje kukukubali?

Umeona kujiamin kwa huyu bwana harusi ???? Embu nyote tazameni *huyo Dada alosimama nyuma ya hawa wanaharusi[emoji116][emoji116]
d4430b1507c864b856ee2026144e48d5.jpg
Wa mkoa gani hawa babyyy .....nimecheka mno
 
Kwahiyo tukitoka we ukiagiza chips mi naagiza ugali sio,

Halafu ukibakiza zile chips nakwambia leta hapa nizimalizie eti eeeh,

Kwa siku nioge mara moja tu halafu napaka mafuta ya 300 hata ya kula kama yapo karibu eti,
Huyu mama ni kila.za kweli.Yaani mwanaume usitumie mafuta/vitu vya gharama kisa nini haswa.Akitaka mwanaume wa dizaini yake aende vijijini kwa wachunga ng'ombe ndo wanapaka mafuta ya ng'ombe.
 
Wa mkoa gani hawa babyyy .....nimecheka mno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] subir uone siku nakuoa ,, mbn iko kioja nikidogo !!!.
048deeffa00866914a6ee942ad6aae60.jpg
hao wanatokea ndani ndani uko ,ambako siku ya sherehe inahesabiwa km siku yakipekee sanaaa ambayo unatakiwa muwaumize watu Roho[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji120]
 
Wanaume wa Dar ni janga kwa taifa..

Inabidi [HASHTAG]#Watubu[/HASHTAG]...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] subir uone siku nakuoa ,, mbn iko kioja nikidogo !!!.
048deeffa00866914a6ee942ad6aae60.jpg
hao wanatokea ndani ndani uko ,ambako siku ya sherehe inahesabiwa km siku yakipekee sanaaa ambayo unatakiwa muwaumize watu Roho[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji120]
Daaaah utaniuwaa kwa kuchekaaaa mwenzioo....
 
Huyu mama ni kila.za kweli.Yaani mwanaume usitumie mafuta/vitu vya gharama kisa nini haswa.Akitaka mwanaume wa dizaini yake aende vijijini kwa wachunga ng'ombe ndo wanapaka mafuta ya ng'ombe.
Mnajitokeza huko mlipojificha wapaka poda wakubwa nyie...
 
Daaaah utaniuwaa kwa kuchekaaaa mwenzioo....
Jamaaaaan usife mwayaaaa ,,sasa nitamchekesha nani naunajuaa upo pekee ako ??? Aya sasa ,,au unataka namm siku ya harusi nikufanyie km huyu ndugu yangu[emoji116] [emoji116] [emoji23]
b64b29a8c454896d3ad9eb0c67817e96.jpg
siunajua kale kaahadi kakukufanya ucheke Muda wote ?????
 
ha ha haaa mama weeee kwa mambo haya utanifanya siku ya harusi Ilo shela nilishone kimini kwakweli .na kakumbuka sana tu.
 
Basi tulia ivo ivo ,nikupe vyamoto vyakoo,, basi km niivo ,mie nitavaa zangu jezi ya Man U wee uvae shela yakoo
efbe378cb224c7e5cb4288c7d49c7b13.jpg
mambo yawe km hayo !!.
 
Hahaha anakula soseji moja...wakati tano tu naona nakula karanga......[HASHTAG]#SOSEJIMOJA[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom