Ninaandaa debate humu

Ninaandaa debate humu

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,936
Reaction score
3,940
Hapo kwa Kiranga na mama mchungaji (huyu ni mwinjilisti) . Jukwaa lingekaa darasani kwa utulivu, kama Kiranga angewekwa na Somebody Mtangoo (huyu ni mwalimu wa kiroho na kiimani kwa mtazamo wangu). Hapo Ndio new comer wangeona na kushuhudia Atheist Kiranga ni Mwepesi sana 🤣🤣🤣
 
hujanipa mrejesho wa ile ashura ya kumlaki farasi wa Imam Hussain Zuljanah (Amani iwe juu yake) ilikuwaje, picha na video nahitaji
Busu la Kenge
Mcheki mwamba akielekea na Zuljanah kuulinda na kuutetea uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji na uonevu. Kwenye battle of Karbala.

Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg


adriz Adiosamigo Jagina Makonde plateu Al-mukheef Megalodon
 
Back
Top Bottom