Nina wazo zuri la kipindi cha Televisheni ambacho naamini kitakuwa na watazamaji wengi siku moja kwa wiki. Je, nifanyeje kuuza hii idea?

Wewe unauza mimi idea bure.. anzisha kituo cha television halafu hayo maidea yatupie huko
 
Mbona unamkatisha tamaa mzee kwani unaijua uwezo wake?? Ni ngumu kwako sio kwa wote binadamu hatupo sawa mkuu
Ndiyo ukweli, na sikumkatisha tamaa nimempa uhalisia na njia ya kupitia kutimiza ndoto yake. Nimemwambia kwa kuuza idea ni ngumu ila atengeneze demo ya kipindi chake.
 
Back
Top Bottom