Nina wasiwasi na mke wangu...

Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
ulishindwa kuwapigia hao mashemeji ili uwaulize kama kweli wanakikao huko nyumbani?
 
Kama unampenda sana, na huwezi kumuacha; usiangaike kumuuliza chochote, wewe akija mpelekee moto maisha yaendelee.
Kwa sababu, itakuwa haina maana ya kumuhoji, huku ukiwa hauna uwezo wa kufanya maamuzi magumu itakuwa sawa na kupiga kelele tu.
Hili neno kuntu
knows
 
Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Pole braza, sorry km nitakukosea.. una uboya fulan hiv ndanj yako, mwanamke kulalamika ndo umougope? Be a man. Ukiamua umeamua, kaza unachapiwa.. na demu wako ashajua wew ni weak.
 
Wee subiria style mupya mupya alizojifunza huko dodoma
Nimechelewa kutoa ushauri sijui jamaa kashaua uko hajaleta mrejesho

Ukweli mchungu mke katombwa

Ila uyo mke sio malaya inawezekana akawa hapigwi sana nje ya ndoa kwa mwanamke anaetombwa sana nje ya ndoa asingekupa izo sababu za kiboyo masaa mawili ni mengi sana kwa mwanamke mchepukaji uyo alieenda hadi dodoma kufata hogo uyo sio malaya kabisa we msamehe tu potezea maisha yaendelee kwasabu alimtomba ni X wake

Mchepukaji mzoefu huwezi mpeleka dodoma kindezi ivo uyo katulia kuwa na amani wamepasha kipolo tu na nnaamini kabisa hukumkuta bikra mnyaturu wa watu
 
Alafu msimlaumu sana jamaa eti kuhusu kumruhusu mke kuondoka alafu wengi mnaomponda jamaa kua kamruhusu mke kaondoka kizembe istoshe hampo kwenye maisha ya ndoa

Ipo ivi yani kuna time unajiona kama unahitaji kuwa peke yako ivi kwa muda akili irelax hapo mke hata akikuaga anatoka huwez zingatia mpaka muda uende kidogo ndo akili inakaa sawa na humo ndo mnapogongewa wengi wake zenu mke akiwa mbali kidogo akili ndo inakukaa poa ivi ila akiwepo ivi unamuona box tu

Ule msemo wa "nikiondoka utanikumbuka" haufanyagi kazi mpaka mtu aondoke

Ndo ukweli uo
 
Huyo mwanamke anakuogopa sana mkuu, msamehe tu, Katumia nguvu nyingi kuweka mazingira ya kutopata kesi yoyote kumbe ndo kajisukia kesi kwa kusema nalala Dom.

Cha Kufanya Ningekua mimi.
Kwa vile ni mke wangu na sijapanga kumuacha bado.
Nitanunua bangi za kutosha, nitatafuta na misosi ya kuamshia dude vizuri.

Nitaichakata Papuchi yake kutwa mala nne na kuoga itakua mala nne kwa siku, kwa siku 3 au 4 hivi Mfululizo.

Sharti ni moja hakuna kusema nimechoka, na atajuta kwenda Dodoma
Kama hakupendi ni kazi bure tu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nimechelewa kutoa ushauri sijui jamaa kashaua uko hajaleta mrejesho

Ukweli mchungu mke katombwa

Ila uyo mke sio malaya inawezekana akawa hapigwi sana nje ya ndoa kwa mwanamke anaetombwa sana nje ya ndoa asingekupa izo sababu za kiboyo masaa mawili ni mengi sana kwa mwanamke mchepukaji uyo alieenda hadi dodoma kufata hogo uyo sio malaya kabisa we msamehe tu potezea maisha yaendelee kwasabu alimtomba ni X wake

Mchepukaji mzoefu huwezi mpeleka dodoma kindezi ivo uyo katulia kuwa na amani wamepasha kipolo tu na nnaamini kabisa hukumkuta bikra mnyaturu wa watu
Maumivu ya kutombewaaa acha kabisa mwanawane. Mandelea mwenyewe alisamehe wadhungu waliomtia jela ila winnie alivyogegedwa tuu jamaa hakuweza vumilia
 
Mkuu ulishindwa hata kumpigia shemeji mmoja na kuuliza huyo mtu anakuja huko kulikoni?
 
Back
Top Bottom