Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,333
- 14,287
Kuku ashaliwa yamebaki manyoya,ata deal nae Vipi?.Inaonekana huu ni ugonjwa ulioulea mwenyewe na ndio unakutafuna sasa. Mkeo anakuaga usiku kuwa anasafari asubuhi na we unamuitikia tu? Hahaa! Safari ya siku kadhaa nje ya mkoa na it's okay with you? Unajua kinachiendelew huko Dom na inauma sana but kwa mtazamo wangu, Deal with it.