Nina wasiwasi na Jerry Silaa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kuna mwenendo tunaokwenda nao.

kwa kuwa waliofeli ubunge wamepewa ukuu wa mikoa na kwa kuwa wapo waliokuwa madiwani ambao walifeli kupenya na vijana wa kupewa nafasi

hivyo basi nina wasiwasi Jerry Slaa kuukwaa U DC KINDONDONI ama popote HALAFU U -RC

ajhG_XgB.jpg
 
View attachment 330406

Akiupata U-DC; afuate nyayo za Makonda ktk kuchapa kazi; sioni ttz lolote hapo!
 
Japokuwa huwa siikubali CCM na mambo yake, ila huyu jamaa wangemfikiria, hebu imagine anapokumbuka huu uchaguzi kwanza kapoteza, mzazi pili wananchi wakampiga chini, dah ni majanga matupu.
 
Kumbe jamaa hakupita uchaguzi huu?ni. Mchapakazi sana.Nakumbuka aliteletea maji wakazi wa Kinyerezi na daraja alisimamia likaisha
 
Kuna mwenendo tunaokwenda nao.

kwa kuwa waliofeli ubunge wamepewa ukuu wa mikoa na kwa kuwa wapo waliokuwa madiwani ambao walifeli kupenya na vijana wa kupewa nafasi

hivyo basi nina wasiwasi Jerry Slaa kuukwaa U DC KINDONDONI ama popote HALAFU U -RC

View attachment 330406
ASUBIRI ATUMBULIWE NA JAKAYA KIKWETE
NI MMOJA WAPO WALIOTAKA KUTOKA NJE AKIONGOZANA NA NCHIMBI, SIMBA NA KIMBISA;

ATUPISHE AKAE PEMBENI
TEAM LOWASA
 
Mzee wa majipu anaonekana ni mtu wa visasi, kuna hatari huyu dogo anaweza kukosa hata u DC
 
Japokuwa huwa siikubali CCM na mambo yake, ila huyu jamaa wangemfikiria, hebu imagine anapokumbuka huu uchaguzi kwanza kapoteza, mzazi pili wananchi wakampiga chini, dah ni majanga matupu.
Kwaiyo apewe tu U'dc kisa kapoteza mzaz na wananchi wakampga chin? Tunaposema ccm.hua mnagawana vyeo msibishe ushahid ndo huu
 
Back
Top Bottom