Huyo jamaa ni mpiga kazi, sema wakubwa ndio walikuwa wanamkwamishaaa!!!
Yaani Arusha huu umeme ni balaa blue,kwa mfano tangia jana saa moja mpaka saizi saa nne hakuna umeme tena bila maelezo wala taarifa,ubabe uliotukuka huu
unajua kazi ninayoifanya?bila huo umeme naifanyaje we ndio mramba?kama ni wewe basi maaa mae
unajua kazi ninayoifanya?bila huo umeme naifanyaje we ndio mramba?kama ni wewe basi maaa mae
Mkuu ngoja na mimi nimuongezee huyu maa mae Koleba..
Arusha cc wajasiria mali tunategemea huo umeme..Yeye anasema hapa kazi tuu( kauli nzuri sawa) lakini sio kwa hili la taneasco Arusha..
Ndugu Koleba unavyosema turipoti tatizo tanesco je unataka turipoti huu mgao wenu wakipuzi tanesco tena..!!!? bila shaka wewe ni jipu pia unasubiria kukamuliwa shwain..
Akalime kahawa Rombo.
Anazalisha umeme wa ziada kwa sasa but bado mgao inaendelea baadhi ya maeneo ukiuliza matengenezo ivi usiku wa manane mnakuwa mwatengeneza nini?
Tunataka Umeme wa uhakika...clean gizani unamuonaje? Bei ya Umeme iko pale pale na mafuriko na migesi tuliyonayo!!Hizi ni chuki binafsi.. hawaondolewi hivyo unavyotaka wewe. The man is clean
Nani kakudanganya unazalishwa umeme wa ziada? Unajua jiji la Dar linachukua MW ngapi? Jumla ya vituo vinavyofua umeme kwa kutumia gesi ni (5). Ubungo1 (102MW), Ubungo 11(105 MW), Songas (189 MW), Tegeta (45MW), Sumbion (T) Ltd (112MW).
TANESCO inatekeleza miradi mingine 7 ya kufua umeme kwa kutumia Nishati ya gesi asilia ktk Mikoa ya Dar, Mtwara na Lindi.
Kiasi cha umeme unaofuliwa sasa kwa kutumia gesi asilia unafika MW 546na miradi ikikamiilika itazalishwa jumla ya MW 2,475
Upuuzi mwingine TANESCO watumishi wake hawanunui umeme wanapewa umeme bure huu ni ufisadi magufuli anatakiwa alishuhulikie mapema ni hela nyingi inatumika ya wananchi kulipia umeme kwa watumishi wote wa TANESCO nchi nzima na mishahara yao ni minono
Ndugu umenena TANESCO ingepata mshindani ingebadilika kwanza humohumo ndani ndio vishoka wamejaa hata ukiwatolea taarifa wakubwa wao wanaona sawa tu huenda wanagawana, hakuna kitengo chenye kero kama cha dharura ukipiga cm wanaweza wasipokee na wakipokea wanakujibu gari ya mafundi haipo ukikumbushia utaambiwa hauko pekee yako mwenye dharura mpaka waje ni baada ya siku 3 hapo umehangaika vya kutosha. .hivyo kuitwa ni dharura hakuna maana TANESCO ni shirika halifai kabisa nchi hii
Historia nzima ya TANESCO ni mbovu, kwakuwa Rais anahitaji mabadiliko anaweza kuweka mwingine, waadilifu wapo wengu tuu!. Mkumbuke hata watumishi wa umma wataanza kufanya kazi kwa mikataba mifupimifupi, vivyohivyo na ukurugenzi.
ATOKE tuu kwani kwake pale?