Nina wasiwasi mtoto si wangu. Nitawezaje kuhakikisha?

Labda nikuulize swali ambalo nawe ujiulize mwenyewe, kwanini akusingizie wewe? Una mali nyingi sana hapo ulipo kwamba anataka utajiri wako? Kama jibu ni hapana basi stand up and grow bro. Kuwa mwanaume anaejiamini, mtunze mama na mtunze mtoto.
Hapa kuna sababu nying za kusingiziwa ujauzito(mtoto) mda mwingne wanaume tunashikishwa watoto ambao sio wetu kwa sababu wanawake wanaitaji kuficha aibu zao
 
Unajua process za kupima DNA? Tanzania hupewi majibu ya ukweli utapewa fake tu, kupunguza idadi ya watoto wasio na baba, aende Sou

Unajua process za kupima DNA? Tanzania hupewi majibu ya ukweli utapewa fake tu, kupunguza idadi ya watoto wasio na baba, aende South Africa au Nairobi
Ni bora mimi nilee mtoto ambae nina uhakika kabisa sio wangu ila nafanya kumsaidia kama mzazi kuliko kulea mtoto kwa wasiwasi
 
Wewe lea tu. Ndiyo busara . Watu wengi wanalea watoto wasio wa kwao na maisha yanasonga. Ukitaka kumchunguza mwanamke utapasuka kichwa
 
Kuna Mkuu mmoja humu ndani alisema,

"Chukua uume wako, mchape nao mtoto kwenye kichwa"

Kama mtoto atafariki, ujue si wako. Akipona ni damu yako.

Ila sijakuambia ukafanye hivyo.
 
Kuna Mkuu mmoja humu ndani alisema,

"Chukua uume wako, mchape nao mtoto kwenye kichwa"

Kama mtoto atafariki, ujue si wako. Akipona ni damu yako.

Ila sijakuambia ukafanye hivyo.
Dah! Aisee
 
Jichange kila mwezi weka 50000 kwenye account maalum baada ya mwaka utakuwa na laki tano na inatosha kabisa kupima DNA
hiyo hela wengi wanayo na wana hasira za kubambikiwa lakin si rahis hivyo kwa sheria zetu za kusitiri wanawake wadanganyifu. unaweza kukataliwa na pesa mkonon kama huna sabab shawishi. angalizo ni kuwa stress za kujua ni kubwa kuliko ya kutokujua!
 
Sidhani kama kuna ukweli asilimia 100 kutazama vigaanja vya mikono.. Labda mi mgeni sijui lakini....
ila nnachojua,damu yako/yenu ukikutana nayo kuna uhusiano wa kihisia tu,lazima moyo utashtuka kidogo au kuumia kama ni damu yako..... ila ukiona huhisi chochote,yaani roho /mwili wa baridii ujue umepigwa
 
Uko sawa trust your guts,na ukifanya maamuzi usirudi nyuma.Ukimwona tu mtoto kama ni wako utahisi chemistry yenu inaendana yaani hata ukimchekea anafurahi,hata ukiongea nae anatulia kukusikia ila ukiona mtoto ukimsogelea analia hahahah sio wako huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…