Nina wageni, natafuta guest ya aina hii Mwanza

gedigo

Member
Apr 14, 2020
17
16
Tujuzane wapendwa,

kuuliza sio ujinga, ni guest ipi maridadi na isiyo na kelele na iliyo bei ya budget ya sh 15,000 mpaka sh 30,000 kwa siku iliyo Mwanza kuanzia stand ya mabasi ya mikoani iliyo nje ya jiji la Mwanza mpaka katikati ya mjini yenye huduma zote kuanzia jiko lililoenea vyakula maridadi hasa sato kubwa za kilo 2.5 mpaka 5 pisi moja za kuchoma na huduma zote za vinywaji baridi, usafi wa hali ya juu na vyumba vilivyo vikubwa masters zenye uhakika wa maji ndani, umeme wa uhakika na tv zilizo conected na DSTV masaa 24?

Dondoshea comment jina la hio guest na no ya meneja au mhudumu wa hapo na eneo ilipo, nina wageni natafuta mahali pa kuweza fikia mwenye taarifa aweke vyeti mezani.
 
Back
Top Bottom