that shows highest degree of desperation.
kama she trust herself kuwa cutie hilo nalipenda sina ubish nalo but kutokupata patna is something else ama ni binti maringo sana ama ana class anazozitaka na ambazo ni rare kuktana nazo. ama la ana evil sprits za kutokukubalika na sijui hii utaisemaje but ipo kwa baadhi ya watu.
watu wa namna hii hawapati acceptance no matter what they do, always wanakuwa rejected hata kama ni kazini ama mtaani na kadhalika. this needs spiritual deliverance.
Wana jamvi msinichoke,Mimi ni mwanamke mzuri,mwenye sifa zote nzuri za mwanamke
Lakini cha kushangaza sipati mchumba ni miaka mitano sasa Nipo single,Hali hii nimechoka
Nisaidieni jamani,
Anavigezo ajaviona ndo maana anachelewa!!Keep waiting.......!that shows highest degree of desperation.
kama she trust herself kuwa cutie hilo nalipenda sina ubish nalo but kutokupata patna is something else ama ni binti maringo sana ama ana class anazozitaka na ambazo ni rare kuktana nazo. ama la ana evil sprits za kutokukubalika na sijui hii utaisemaje but ipo kwa baadhi ya watu.
watu wa namna hii hawapati acceptance no matter what they do, always wanakuwa rejected hata kama ni kazini ama mtaani na kadhalika. this needs spiritual deliverance.
Anavigezo ajaviona ndo maana anachelewa!!Keep waiting.......!
Wana jamvi msinichoke,Mimi ni mwanamke mzuri,mwenye sifa zote nzuri za mwanamke
Lakini cha kushangaza sipati mchumba ni miaka mitano sasa Nipo single,Hali hii nimechoka
Nisaidieni jamani,
Ajaona anayemtaka!ndiyo maana kakaa for 5yrskivipi??
that shows highest degree of desperation.
kama she trust herself kuwa cutie hilo nalipenda sina ubish nalo but kutokupata patna is something else ama ni binti maringo sana ama ana class anazozitaka na ambazo ni rare kuktana nazo. ama la ana evil sprits za kutokukubalika na sijui hii utaisemaje but ipo kwa baadhi ya watu.
watu wa namna hii hawapati acceptance no matter what they do, always wanakuwa rejected hata kama ni kazini ama mtaani na kadhalika. this needs spiritual deliverance.
Asante sana na karibu sana dada yangu.
Mwl gfsonwin pengine huyu dada angeshauriwa aende kanisani kwanza au ajisogeze kwenye maombi pengine kuna roho zina muandama!
Lakini pia lazima ajiangalie kweli yeye si tatizo maana tunaweza kuanza kusingizia shetani!
Je mahusiano yake na watu yakoje?
Kazini?
Nyumbani?
Mtaani?
Pia anatakiwa ajue si peke yake mwenye umri kama wake ajaolewa, wapo wengi! Pengine awe nasubira lakini ninge mshauri ajiangalie kwanza yeye pamoja na mambo uliyo yaongelea!