Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 976
salaam,
hakika sio Kila ulevi husababishwa na pombe.
nahisi Nina Uraibu wakutongoza kwakweli, yaani kama mwanamke sio ndugu yangu akijiweka karibu namimi lazima nimtongoze hata kama najua huyu sina Nia nae na sifanyi nae Chochote lakin ni lazima nimtongoze kwanza.
akatae au akubali nikimtongoza hapo ndo moyo wangu hutulia.
mpaka najiuliza huu ni ujana au kitu gani?? Kuna wakati nahisi kukosa kabisa watu wakaribu wa jinsia ya kike.
ila ninachoshukuru Nina hekma saana, sina mazoea na mke wa mtu wala mwanafunzi hiki ndo ninachoshukuru.
naomba nieleweka hapa mim ni mtongozaji tu.. Uraibu wangu unaishia kwenye kutongoza tu.
nimejaribu kuomba ushauri wengi wanasema ni ujana tu Kuna muda ukifika nitaacha.