Nina upweke mpaka natamani kulia

Nina upweke mpaka natamani kulia

Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Pole mkuu.
 
Kati ya wote wewe ndo umepatia hali yangu kwa asilimia 100.

I look forward to fixing this situation sema kuna muda lazima nisubiri. Napiga gym kama kawa tatizo lingine nipo unyamwezini maisha ya kijamii ni sehemu kubwa ya changamoto Kwa maana ya kuwapata washkaji wa kweli kupoteza nao muda so muda mwingi ni kazini, Home na gym tu!
Wooow, happy to be the only one........

Yeah you need time and the timing too.... If you time at a wrong time.... you'll miss it.

Am happy that I have touch the hardcore... yeeeeyy. I wish you all the best in getting her back.... it's so lovely when two souls who deeply love each other and match in many ways live together. .....

I wish to have my soul mate by my side pinching each other laughing and talking..... I understand your situation.

Blessings to you.
 
mwanaume hawezi kuwa mpweke bwana!!usiwe dhaifu kiasi hicho ndugu!!
 
Wooow, happy to be the only one........

Yeah you need time and the timing too.... If you time at a wrong time.... you'll miss it.

Am happy that I have touch the hardcore... yeeeeyy. I wish you all the best in getting her back.... it's so lovely when two souls who deeply love each other and match in many ways live together. .....

I wish to have my soul mate by my side pinching each other laughing and talking..... I understand your situation.

Blessings to you.

It’s a tough situation narudi home kila siku ngoma ile ile! Dah
 
HII POST NILIDHANI MWANAMKE KUMBE DUME? SASA DUME GAN ANAWEZA KUTAMANI KULIA AU KUANDIKA POST YA KIKE HV? HUMU NDANI KUNA WATU WA JINSIA MBILI KUMBE, SHUBAMIT!
 
Pole kidume,.hicho ni kipindi cha mpito tuu kama vipindi vingine katika maisha,..sio kila kitu lazima uwe nacho wakati unao utaka ww,.lazima kuwe na uvumilivu,subra na imani thabiti....wewe jua tuu uko kipindi cha "mpito" au unadhani utakaa hivyo milele?la hasha!!! Japo unapesa mingi,.kubali tuu kwamba sio lazima sasa(kwa wakati huu)izalishe pesa yako zaidi na zaidi,Fanya kazi kwa bidii,toa sadaka(hasa fungu la 10),sali na ufanye ibada ya kumpendeza Mungu,tembelea wagonjwa,yatima,wajane na wenye shida mbalimbali n.k kupunguza upweke,.mpenzi,mchumba,mke atakuja na UPWEKE utausikia tuu redioni.
 
It’s a tough situation narudi home kila siku ngoma ile ile! Dah

Pole sana DALA,

I know how tough it is.... I understand.

Main goal... DON'T GIVE UP.... DONT LOSE HOPE..... especially on your GIRL.... The one you've been looking for and dreamt of.
 
Aisee kwa kuwa unajiita kidume mkuu pambana
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Nakuja kukutoa upweke ulionao...usijalo
 
Back
Top Bottom