Nina upweke mpaka natamani kulia

Nina upweke mpaka natamani kulia

Kama sijakosea wewe ni mbahili sana, pesa yako ni yako, nani kasema??:toka out lazima tukutane na watumiaji wa pesa yako.

Mbona watu wengi tunaishi peke yetu na maisha yanasonga? Mm nikifika home jioni naingia jf au naweka wimbo ninaoupenda na mm naanza kuimba, nikiwa bored, naweka movie ya kikorea fasta kushutuka ni SAA 5 usiku
 
Kwa nini uwe peke yako buana? Wapo vidume kibao wa kukuliwaza we unaishi peke yako?
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka Ila kwenye nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Kuna jamaa juzi nilikua naongea nae nikamuuliza why some Man wana Cheat ila wengi hawa cheat? akasema apana wana cheat ila ukimuona mwanamme ha Cheat hua ana 1 kati ya haya mawili,1 hana hela ,2 atakua hana nguvu za kiume sasa sijui mpaka hapa lipi ni kweli, mkuu kwa upande wapo unakubaliana na 1 kati ya hayo au ni maneno tuu? nimeuliza kwa roho safi tuu usinune plz.
 
Mi nikirudi naongea na wazee wenzangu tunakunywa kahawa tunaongea siasa, mpira,dini na mengine maisha yanasonga.
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka Ila kwenye nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Nichek inbox nikuconnect na binti flan ivi..
 
Pole sana, maisha I msongamano.
Nnachokiona kwako uko mpweke kwasababu aidha mmeachana na mpenzi wako, au una mpenzi wako lakini huwezi kuwasiliana nae na anaishi maili nyingi mbali nawe na unampenda sana.

Fanya hivi kama mmeachana na mpenzi wako jaribu kuona kama mnaweza rudiana kama haiwezekani basi ratiba ya kwenda gym iwe kila siku badala ya mara 1 kwa wiki. Najua gym inaboa hasa ukiwa down. Usiende out kula maana uko mwenyewe pika nyumbani ule au nunua ukale nyumbani. Usifue nyumbani nenda kafue nguo kwenye kiosk cha kulipia hapo Utakutana na watu walau mnaweza ongea mawili matatu.

Anza kufanya jogging jioni Utakutana na wengine hapa waweza pata rafiki. Siku shauri kwenye pombe japo usiache kunywa kabisa.

Kama mpenz wako yuko mbali nawe na mmesitisha mawasiliano kwa namna yoyote ile..... usikubali FIGHT FOR THE ONE YOU LOVE.... GO FOR HER..... MAKE HER YOURS only if you assure she loves you back more.

You'll be happy ever after in your life.
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka Ila kwenye nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Hayo maisha unayoishi PEKE YAKO hujayazoea unajilazimisha tu, tafuta mtu uishi nae kabla hujajidhuru.
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka Ila kwenye nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
PIGA PUCHU MZEE BABA MAISHA YATAENDA TU UPWEKE HUU UPO TU
 
Kuna jamaa jirani hapa amejinyonga sababu ya upweke.
Nenda hata club
 
Yaani Mungu kajaza mamilioni ya wanawake kila mtaa, wewe bado unalialia na upweke?

Fafanua upweke unaouongelea.
1. Upweke Wa kutokuwa na mke

Au
2.Upweke Wa kutokuwa na demu /mahusiano yoyote?

Maana kama ni upweke Wa kutokuwa na mke tunao wengi tu. Tena hauvumiliki kwangu.

Ila upweke Wa kukosa demu, shughuli za kujichanganya nazo ni kujitakia mwenyewe.
 
Pole sana, maisha I msongamano.
Nnachokiona kwako uko mpweke kwasababu aidha mmeachana na mpenzi wako, au una mpenzi wako lakini huwezi kuwasiliana nae na anaishi maili nyingi mbali nawe na unampenda sana.

Fanya hivi kama mmeachana na mpenzi wako jaribu kuona kama mnaweza rudiana kama haiwezekani basi ratiba ya kwenda gym iwe kila siku badala ya mara 1 kwa wiki. Najua gym inaboa hasa ukiwa down. Usiende out kula maana uko mwenyewe pika nyumbani ule au nunua ukale nyumbani. Usifue nyumbani nenda kafue nguo kwenye kiosk cha kulipia hapo Utakutana na watu walau mnaweza ongea mawili matatu.

Anza kufanya jogging jioni Utakutana na wengine hapa waweza pata rafiki. Siku shauri kwenye pombe japo usiache kunywa kabisa.

Kama mpenz wako yuko mbali nawe na mmesitisha mawasiliano kwa namna yoyote ile..... usikubali FIGHT FOR THE ONE YOU LOVE.... GO FOR HER..... MAKE HER YOURS only if you assure she loves you back more.

You'll be happy ever after in your life.

Kati ya wote wewe ndo umepatia hali yangu kwa asilimia 100.

I look forward to fixing this situation sema kuna muda lazima nisubiri. Napiga gym kama kawa tatizo lingine nipo unyamwezini maisha ya kijamii ni sehemu kubwa ya changamoto Kwa maana ya kuwapata washkaji wa kweli kupoteza nao muda so muda mwingi ni kazini, Home na gym tu!
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Wewe si hardcore unayeweza kuishi na hali yoyote.

Upweke mdogo tu unataka kukuliza.

Wakati watu tumeishi nchi za ugenini kwa miaka bila familia wala marafiki, na wala hatujifikiria wapweke wala kujisifia kwamba tunastahimili upweke.

Mtu una kazi, vitabu, muziki, movies, upweke unaanzia wapi?

Na kama unataka company njia kibao zipo za kukutana na watu.

Au ndiyo unatafuta kiki hapa?
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Si uwowe!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom