Nina upweke mpaka natamani kulia

Nina upweke mpaka natamani kulia

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,690
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka ila nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
 
Mbona mm naishi pekee yangu na sina hata demu ila I enjoy life?? Jitahd kuwa bze hata ukiwa nyumban...waweza jifunza vtu vng kama mapishi au hata ukaamua kuskiliza muziki ila sio ule wa kusononesha...sikiliza songs za furaha tu....half penda kujichanganya na watu kama unaweza....
Usitafute mwanamke kisa upweke ,labda awe n take away .
 
271f8b0fa55e3a76e61d91828a03185d.jpg

Je umefikiri kuhusu njia hii!??
 
Wadau kwema,

Awali ya yote niseme tu kwamba mimi ni moja kati ya watu ma konkodi yaani hardcore kiasi cha kuhimili hali tofauti na yenye mazingira magumu bila kutetereka Ila kwenye nimeshindwa.

Nina kazi yangu nzuri tu mkwanja wa maana so maisha yanaendelea freshi tatizo nipo peke yangu.

Yaani kidume inafika wakati mpaka natamani kulia, kama leo toka nimerudi kazini ndo shida kabisa.

Upweke utaniua kidume!
Ukishakuwa na pesa usikariri maisha,
Tafata njia za kulainisha ubongo wako,
1. Njia za kimungu
2. Njia za kishetani
Changua mwenyewe
 
Na hapa ndiyo nachanganyikiwa, mwenye kazi na mkwanja wa maana analia upweke. Mimi jobless na kipato cha kuunga najiona sihitaji kampani maana kuna siku unakunywa chai kwa mluzi
 
Mbona starehe ni nying... Pesa ndo kila kitu
Atakuwa hana pesa, inakuaje pesa utafte mwenyewe kwa bidii, zishndwe kulainisha moyo wako!!
Kukosa furaha moyoni na pesa unazo ni bora ya maskini kuwa na furaha ila hana pesa!
 
Dawa ya upweke ni kula monde mwanzo mwisho

Pombe ndio dawa pekee ya kumfanya mtu awe na furaha na kusahau matatizo yake
 
Back
Top Bottom