Nina uhitaji wa simu ya mezani

Nina uhitaji wa simu ya mezani

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
2,846
Reaction score
2,512
Wanajamvi,
Toka jana nahangaika humu kutafuta thread fulan ilikuwa kuna mtu ameleta anauza simu za mezani unazoweka Laini na alikuwa anauza kwa bei nzuri sana. kwa ambae anaukumbuka naomba nipandishieni hapa au anaeuza hizo simu ninahitaji
 
1571203673356.png

1571203703785.png

1571203730231.png

1571203838639.png

Wapigie simu hao, wanafanya free delivery
 
Nashukuru Wakili
 
Back
Top Bottom