Emman1985 Member Joined Apr 12, 2018 Posts 37 Reaction score 44 Dec 24, 2019 #1 Habari wakuu, kheri ya Krismas. Nina uhitaji wa mabegi ya shule kwa watoto wa nursery, jumla yake ni zaidi ya Mia mbili, viatu na mashati. Kama Kuna mtu humu naweza fanya naye biashara hiyo, tafadhali nicheki PM. Nitafika Dar Alhamisi.
Habari wakuu, kheri ya Krismas. Nina uhitaji wa mabegi ya shule kwa watoto wa nursery, jumla yake ni zaidi ya Mia mbili, viatu na mashati. Kama Kuna mtu humu naweza fanya naye biashara hiyo, tafadhali nicheki PM. Nitafika Dar Alhamisi.
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,735 Reaction score 2,427 Dec 25, 2019 #2 Kalume mzigo unaweza kupta Sent using Jamii Forums mobile app
Emman1985 Member Joined Apr 12, 2018 Posts 37 Reaction score 44 Dec 25, 2019 Thread starter #3 dojonase said: Kalume mzigo unaweza kupta Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante mkuu japo nahitaji kufanya mawasiliano mapema kabla sijafika ili nijue nahitaji amount kiasi gani
dojonase said: Kalume mzigo unaweza kupta Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante mkuu japo nahitaji kufanya mawasiliano mapema kabla sijafika ili nijue nahitaji amount kiasi gani
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,735 Reaction score 2,427 Dec 25, 2019 #4 Umejiandaaje nikusaidie kuliza Sent using Jamii Forums mobile app