Hilo wazo lako la kwanza la ufugaji is the best one.Kama una eneo la kutosha wewe fuga Kuku wa kienyeji na Kanga tu.Achana na kuku wa kisasa .Faida ya ufugaji huu ni kwamba soko ni la uhakika lakini pia hauhitaji kuwa na LESENI wala TIN namba na usimamizi wake ni rahisi.But kama unataka kufuga kisasa lazima uajiri mtaalam wa mifugo hata wa part time ili awe standby kutoa huduma/ushauri!.