Nina Tsh Milioni 3, naombeni ushauri wakuu niwekeze nini? Biashara au kiwanja


Shukrani MKUU.. nalifanyia kazi kichwa kinafikilia sana mkuu.. nashukuru
 
Lifanyie kazi namba 4 utakuja kunikumbuka baaadae mno

Shukrani.. sina uhakika na huu mtaji niliokuwa nao kama unatosha ila naendelea kulifanyia research; nijue kama ntaendana nalo na huu mtaji.. ASANTE MKUU
 
Fungua biashara ya chips utafute location nzuri then inayobaki kanunue kakiwanja huko
 
Shukrani.. sina uhakika na huu mtaji niliokuwa nao kama unatosha ila naendelea kulifanyia research; nijue kama ntaendana nalo na huu mtaji.. ASANTE MKUU
acha mbwembw za kizungu ndo usharud bongo, vifaa vichache si unavyo tayari? Hapo ni mashine la copy printer, hela ya kulipia frem vingine utanunua hela ikibaki. Hiyo laptop utachapa kazi hiyo camera utapiga passport wanafunzi na hata kupiga watu full picha na ukaziedt.
 
acha mbwembw za kizungu ndo usharud bongo, vifaa vichache si unavyo tyr? apo ni mashine la copy printer, ela ya kulipia frem vingne utanunua ela ikibaki. hyo laptop utachapa kazi hiyo camera utapiga passport wanafunzi na ata kupiga watu full picha na ukaziedt.

Ngoja nijaribu kuifatilia hii mashine ya COPY PRINTER kwanza dukani imesimamaje.. used inaweza ikanikaraisha halafu niangazie nini? Naweza kufanya nikituliza kichwa MKUU
 
kwa pesa aliyo nayo haitoshi , biashara ya chips skuiz kilio ni mafuta, kwavile ana baadhi ya vifaaa ni bora afanye biashara inayoendana na vifaa alivyonavyo.

Pia natajaribu kufatilia na kuulizia sehemu wanazofanya biashara ya CHIPS nini? Changamoto kubwa then ntajua.. zote nzuri kikubwa kufanikisha tu ASANTE MKUU
 
Chukua laki tano tafuta eneo lililochangamka weka genge la bidhaa za nyumbani kila siku wamama tunapika, weka mazaga zaga pemben kaanga chips, kuku, samaki ili wakija nunua nyanya chips ziwavute, samak ziwavute kiasi kilichobakia kitunze, biashara sio lazima ziwe kubwa kubwa
 
Chukua laki tano tafuta eneo lililochangamka weka genge la bidhaa za nyumban kila sku wamama tunapika,weka mazaga zaga pemben kaanga chips,kuku,samak ili wakija nunua nyanya chps ziwavute,samak ziwavute,,,kiasi kilichobakia kitunze ,, biashara sio lazima ziwe kubwa kubwa

Nashukuru sana MPENDWA.. M/MUNGU akubariki sana
 
Ngoja nijaribu kuifatilia hii mashine ya COPY PRINTER kwanza dukani imesimamaje.. used inaweza ikanikaraisha alaf niangazie nini? Naweza kufanya nikituliza kichwa MKUU
1. mashine ya copy
2. printer
3. laptop au compyuter
4. camera
5. mazuria / mapazia mbalimbali haya ni kuweka ukutani ili kumpiga picha full au passport fika china plaza unapata utakayo
6. sofa moja
7. viti vya wateja
8. ndani ya frem moja utagawanya kwakuweka china door then akiba itayobaki utanunua madaftar peni rim pensel n.k
 
1. mashine ya copy
2. printer
3. laptop au compyuter
4. camera
5. mazuria / mapazia mbalimbali haya ni kuweka ukutani ili kumpiga picha full au passport fika china plaza unapata utakayo
6. sofa moja
7. viti vya wateja
8. ndani ya frem moja utagawanya kwakuweka china door then akiba itayobaki utanunua madaftar peni rim pensel n.k

Asante sana ..Mkuu nashukuru sana kwa hili
 
Back
Top Bottom