Nina Tsh 400000/= Nishaurini simu ya kununua(Smartphone)

Nina Tsh 400000/= Nishaurini simu ya kununua(Smartphone)

Kama Android angalia Xperai SP au Xperia M. Kama ni Nokia angalia Lumia 720 na Lumia 625. hizi unapata mpya dukani.
 
Nicheck utapata sumsung nzuru tu ..0758144803.
 
Huawei ascend 600 ni only 300,000/= na chenji inabaki kwa shughuli ingine
 
Tafuta samsung galaxy s5 used ebana hii ni noma mzazi.

Nitafute wapi ndugu? Ndo maana nikaja huku hiyo s5 nawasiwasi kwa mia4 sidhani hata used watauza hivyo ila kaa ipo niko willing kuichukua
 
Wakuu heshima kwenu,

Budget yangu ndo hiyo nahitaji simu isiwe blackberry nataka kuhamia android na si lazima iwe mpya hata used iliyo ktk hali nzuri japo mpya ingenifaa zaidi. Mawazo na ushauri wenu pls

Nenda dukani uulizie watakuwa najibu zuri
 
Back
Top Bottom